God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

Big up bro, nimefatilia huu mjadala kuanzia mwanzo, unachosema ndio kweli yenyewe, hii debate kuuuuubwa ila at the end ulichoandika ndicho Yesu alisema niaminini hakika mtaishi, akasema tena Mungu sio wa wafu bali walio wazima.
THANKS BRO.
 
Acha hizo bhana hivi Mimi kujua unaenda kupata ajali nimekuamulia au wewe uliamua kuendesha spidi.

Mkuu kitendo cha kujua nini kitatokea mbeleni katika kila Kitu ulimwenguni maana yake ni kwamba ulimwengu huu na vyote vinavyotokea vimekua scripted/programed (ndio maana anajua)

Ni kama vile director wa movie ya Royal Tour anajua kilakitu kabla hata huja play movie yenyewe

Na kwamba Hittler hakuwa na namna nyingine zaidi ya kuwaua Wayahudi kwasababu alikua scripted kufanya vile

Yanayotokea Gaza au Ukraine hayana budi kutokea

Kwamba mimi hapa najadili na wewe hapa Jf kwenye mada hii muda huu kwasababu imekua scripted hivyo

Kwamba mauovu yote haya duniani hayana budi kutokea kwasababu yamukua scripted hivyo...... and ALMIGHTY GOD KNOWS BUT HAS NOTHING TO DO ABOUT IT, karuhusu yatokee tu

Na mwisho wa siku atakwenda kututia kibiriti kwenye moto wa MILELE kwasababu tumekua scripted kufanya tuliofanya

Kuamini UJINGA kama huu lazima uwe na shambulio la akili linalo itwa IMANI YA MUNGU

Free will kwa binadamu ipo na iko limited kulingana mazingira yanayo mzunguka capability yake nk
Lakini sio MUNGU kwasababu HAYUPO
 

Mkuu umetumia ufahamu wa akili yako kujenga hoja ya uwezekano wa uwepo wa Mungu

Lakini umeshindwa KUTHIBITISHA uwepo wa Mungu

Hoja zako zote zitaishia kuzalisha hoja nyingine.... Mungu naye chanzo chake ni nini?
 
Hahaaaa mkuu umenichekesha sana eti shambulio la akili. Kuamini Mungu hutakiwi kuingia na akili zako huko.

Cc.
Tayana-wog
 
Mungu atakua kamuumba shetani ili yeye apate sababu ya kuwa Mungu.
 
Mungu hajui katoto kadogo kalikozaliwa leo kama kataenda motoni au mbinguni?
 
Je ni kweli Mungu hakumuona?ina maana sisi tukitenda dhambi hatuoni?kama ndivyo mbona basi alishuka sodoma kuona maovu yao?
 
Ndio mkuu upo sahihi Mungu hatuamulii wapi pa kwenda ila swaki la Muhimu ni je Mungu anajua mimi nitachagua Uzuri au ubaya??
Mungu anajua watu wote ,hata Yesu akiwa duniani,ana uchaguzi wa wema na ubaya
 
Haya maswali yanaweza kujibika tu kama kwanza tutamkubali Yesu na kujifunza kupitia maisha yake duniani,kwa kuwa,
Yeye ndiye njia na kweli,na uzima
,Aliyemuona yeye,kumuona Mungu na
Maisha yake ni kielelezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…