God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

Mungu mjuzi wa yote mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Hayupo kwa sababu dhana ya kuwepo kwake ina contradiction, si kwa sababu ya a priori premise.

Hayupo kwa sababu the problem of evil shows us a contradiction in the concept of that God existing.

Either that God exist, or a universe that allows evil exists.

The two are mutually exclusive.

A universe that allows evil exists.

Therefore, that God does not exist.

If you dispute that, prove this God exists.
Sitarudia kujibu, siwezi kurudi na kukopi majibu kama ambavyo wewe umeenda kukopi maswali tuliyokwishajibu.

Nina free will ya kuchagua ama kumjibu mpumbavu sambamba na upumbavu wake ili asijione ana akili...... au kuacha kumjibu mpumbavu sambamba na upumbavu wake ili nisije kufanana nae. [Hii 'mpumbavu' imenukuliwa toka huko nothing personal my brother, respect✌]

I prefer the later option -- This is an example of me exercising my freewill
 
Sitarudia kujibu, siwezi kurudi na kukopi majibu kama ambavyo wewe umeenda kukopi maswali tuliyokwishajibu.

Nina free will ya kuchagua ama kumjibu mpumbavu sambamba na upumbavu wake ili asijione ana akili...... au kuacha kumjibu mpumbavu sambamba na upumbavu wake ili nisije kufanana nae. Hii 'mpumbavu' imenukuliwa toka huko nothing personal my brother, respect[emoji111]

I prefer the later option -- This is an example of me exercising my freewill
Huna freewill ya kumjibu kwa uelewa mtu mwenye elimu zaidi yako ambaye anakueleza vitu ambavyo huvielewi kwa ujinga wako.

Kwa sababu huwezi kuvijibu kwa uelewa vitu usivyovielewa.

Mpaka hapo tu ushatuonesha huna freewill.
 
Quran 36:1-12

Ya-Sin

Kwa Haki ya Qur'ani yenye hikima!

Hakika wewe (Muhammad) ni miongoni mwa walio tumwa,

Juu ya Njia Iliyo Nyooka.

Uteremsho wa Mwenye nguvu, Mwenye kurehemu.

Ili uwaonye watu ambao baba zao hawakuonywa, basi wao wamekuwa wenye kughafilika.

Bila ya shaka kauli imekwisha thibiti juu ya wengi katika wao, kwa hivyo hawaamini.

Tumeweka makongwa shingoni mwao, yakawafika videvuni. Kwa hivyo vichwa vyao viko juu tu.

Tumeweka kizuizi mbele yao, na kizuizi nyuma yao, na tumewafunika macho yao; kwa hivyo hawaoni.

Ni sawa sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye, hawataamini.

Hakika wewe unamwonya mwenye kufuata ukumbusho, na akamcha Arrahman, Mwingi wa Rehema, kwa ghaibu. Basi mbashirie huyo msamaha na ujira mwema

Hakika Sisi tunawafufua wafu, na tunayaandika wanayo yatanguliza, na wanayo yaacha nyuma. Na kila kitu tumekihifadhi katika daftari asli lenye kubainisha
 
Nakufahamisha sasa kwamba huyo eric anaishi kwa kula Mungu na Miungu

Since Eric ni God eater na hana kingine cha kufanya zaidi ya kula Mungu/Miungu basi nina hakika Mungu wako alikwisha liwa na huyu Eric

Can you prove me wrong?

Unaweza kuthibitisha Eric aliyemla Mungu wako na kumfanya asiwepo kuwa hayupo?

Hapo una machaguo mawili

1. Uthibitishe Eric God/Goodness eater hayupo (kitu ambacho huwezi)
2. Au ushindwe kuthibitisha hayupo

Outcome ya hayo machaguo mawili yote yataonesha Mungu hayupo
Oooh kumbe kuna kiumbe wa namna hiyo alishawahi kuumbwa na Mungu, sikuwahi kumsikia.... [nah. in fact nishamsikia humu JF😂😂]

Sema napata tabu tu kuelewa namna ambayo unawezaje kuidelete ile programu ya ndani kabisa ya software ya computer ambayo inahusika na kuongoza mchakato mzima wa kudelete vitu!!?

Again hii ni paradox ya huko kwenu tu ila huku kwetu inayeyuka katika sifa za msingi za Mungu. It is in HIM that we live move and have our being. Kwa hiyo being ya ERICGODEATER inahitaji kuwa powered na huyo god inayotakiwa kumla wakatihuohuo kumtegemea. Ukiweza kunielekeza kwenye kompyuta [inavyoweza kujideletesha]labda jaribu>.....
 
Oooh kumbe kuna kiumbe wa namna hiyo alishawahi kuumbwa na Mungu, sikuwahi kumsikia.... [nah. in fact nishamsikia humu JF😂😂]

Sema napata tabu tu kuelewa namna ambayo unawezaje kuidelete ile programu ya ndani kabisa ya software ya computer ambayo inahusika na kuongoza mchakato mzima wa kudelete vitu!!?

Again hii ni paradox ya huko kwenu tu ila huku kwetu inayeyuka katika sifa za msingi za Mungu. It is in HIM that we live move and have our being. Kwa hiyo being ya ERICGODEATER inahitaji kuwa powered na huyo god inayotakiwa kumula wakatihuohuo kumutegemea. Ukiweja kunielekeza kwenye kompyuta labda jaribu>.....
Nani nimesema aliumbwa na Mungu?
 
Nani nimesema aliumbwa na Mungu?
😂🤣🤣🤣 Imo imesemwa humo kwenye definition ya Mungu broh huhitaji kurudia kutaja maneno meeengi kila wakati. Tunasema tu simply MUNGU.

Hukuelewa nilipokuambia hizo paradox zipo kwa wakana Mungu pekee na uhalisia wako ukikua unayeyuka papo hapo? Basi huu pia ni mfano wa situation hizo za kuyeyusha 'contradiction ndogondogo'
 
Oooh kumbe kuna kiumbe wa namna hiyo alishawahi kuumbwa na Mungu, sikuwahi kumsikia.... [nah. in fact nishamsikia humu JF😂😂]

Sema napata tabu tu kuelewa namna ambayo unawezaje kuidelete ile programu ya ndani kabisa ya software ya computer ambayo inahusika na kuongoza mchakato mzima wa kudelete vitu!!?

Again hii ni paradox ya huko kwenu tu ila huku kwetu inayeyuka katika sifa za msingi za Mungu. It is in HIM that we live move and have our being. Kwa hiyo being ya ERICGODEATER inahitaji kuwa powered na huyo god inayotakiwa kumula wakatihuohuo kumutegemea. Ukiweja kunielekeza kwenye kompyuta labda jaribu>.....
Wapi nimesema aliumbwa na Mungu?
 
😂🤣🤣🤣 Imo imesemwa humo kwenye definition ya Mungu broh huhitaji kurudia kutaja maneno meeengi kila wakati. Tunasema tu simply MUNGU.

Hukuelewa nilipokuambia hizo paradox zipo kwa wakana Mungu pekee na uhalisia wako ukikua unayeyuka papo hapo? Basi huu pia ni mfano wa situation hizo za kuyeyusha 'contradiction ndogondogo'
Naomba unioneshe wapi ambapo nimesema huyo eric ni kiumbe aliumbwa na Mungu

Otherwise hoja yako itakosa sababu ya kujibiwa kwasababu imemlenga mtu mwingine na sio mimi
 
Hakuna mtu aliyeweza kuthibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo.

Kwa sababu Mungu huyo hayupo.

Tunajua Mungu huyo hayupo kwa sababu dhana ya kuwapo kwake ina contradiction.

Dhana ya kuwapo kwake ina contradiction ya "problem of evil".

Ama ulimwengu unaoruhusu mabaya upo, ama Mungu huyo yupo.

Viwili hivi haviwezi vyote kuwapo pamoja.

Ulimwengu unaoruhusu mabaya upo.

Mungu huyo hayupo.

Kama unabisha, thibitisha Mungu huyo yupo.
 
Huwezi kuthibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo.

Kwa sababu hayupo.
Sijawahi kushindwa kufanya hivyo, labda usema uthinitishiwe mara ngapi ?

Kingine swali la msingi ni kuwa umejuaje kama hayupo ?
Tunajua hayupo, kwa sababu, ulimwengu uliopo unakanusha uwepo wa huyo Mungu
Ulimwengu unakanushaje kutokuwepo kwake ?
Ulimwengu uliopo unakanusha uwepo wa Mungu huyo kwa "the problem of evil".
Umejuaje ?
The problem of evil inatuonesha kwamba, Mungu huyo hachangamani na haruhusu ubaya. Hawezi kuwepo, halafu hapo hapo ulimwengu unaoruhusu mabaya uwepo.
Nani amekwambia kama Mola haruhusu ubaya ? Kama unakubali ubaya vipi asiruhusu hilo ?

Nani amekwambia sharti la kuwepo kwake basi aisiruhusu ubaya uwepo ? Sasa uwezo wake utakuwa wapi ?
Ama Mungu huyo yupo, ama ulimwengu unaoruhusu mabaya upo.

Viwili hivi haviwezi kuwapo vyote pamoja.
Sasa vipi visiwepo na vipo ? Hivi unatumia nini kufikiri ?
Ulimwengu unaoruhusu mabaya upo.

Hivyo, Mungu huyo hayupo.
Hii ni simple logic na umeona unavyofikia hitimisho ? Yaani kuna mambo mengi sana umeyaacha, mimi nakuonyesha.

Yeye ndiye anaruhusu hayo yote yatokee , vipi ubaya uwe sharti la kutokuwepo Mola ? Swali langu rahisi sana.
Kama unabisha, thibitisha Mungu huyo yupo.

Najua huwezi kuthibitisha Mungu huyo yupo.

Kwa sababu hayupo.
Logic na Falsafa zinawafanya msifikiria mambo kiundani, maana umecheza na maneno bila kugusa hoja na ukafikia hitimisho kwa mtindo ule ule ambao uliwafanya wakina Socrates na Aristotle/Aristoto waendelee kuwa ni katika watu wajinga walio wahi kuishi hapa duniani.

Swali langu, vipi kuwepo kwa ubaya kuwe ni sharti la kutowepo kwa Mola ? Wakati muda huo huo unaambiwa Mola ni mjuzi wa yote ?
 
Immanent critique.

Hata tukisema tukubali imani sahihi, tusiingie sana kwenye facts, imani yako ni potofu.

Unaamini Mungu ambaye dhana ya uwepo wake ina contradiction.
Usiseme tukubali, nakuuliza kuhusu dhati ya tamko "Imani" nimekupa kazi utenganishe kati ya imani na matendo na uhalisia ?

Imani yangu ni potofu kwa wewe kuerejea wapi ?

Kwanza uwepo wa Mola si dhana, rekebisha hili, bali ni uhakika. Kingine nakupa miaka kumi ulete "contradiction" moja tu unayo iona ipo katika Mola wangu ninaye muamini yaani katika Uislamu. Kisha tuijadili, kwa sharti hakuna kukimbia swali hata moja.

Kingine siyo kila unalo hisi wewe lina utata au kupingana basi kweli lina utata, utata mara nyingi huletwa na mtu kuwa mjinga katika jambo husika au kutolielewa jambo hilo.

Kama hujaonyesha hiyo "contradictions" wewe ni "Mzandiki".

Sasa tujadili kielimu na ujibu maswali yangu.
 
Sijawahi kushindwa kufanya hivyo, labda usema uthinitishiwe mara ngapi ?

Kingine swali la msingi ni kuwa umejuaje kama hayupo ?

Ulimwengu unakanushaje kutokuwepo kwake ?

Umejuaje ?

Nani amekwambia kama Mola haruhusu ubaya ? Kama unakubali ubaya vipi asiruhusu hilo ?

Nani amekwambia sharti la kuwepo kwake basi aisiruhusu ubaya uwepo ? Sasa uwezo wake utakuwa wapi ?

Sasa vipi visiwepo na vipo ? Hivi unatumia nini kufikiri ?

Hii ni simple logic na umeona unavyofikia hitimisho ? Yaani kuna mambo mengi sana umeyaacha, mimi nakuonyesha.

Yeye ndiye anaruhusu hayo yote yatokee , vipi ubaya uwe sharti la kutokuwepo Mola ? Swali langu rahisi sana.

Logic na Falsafa zinawafanya msifikiria mambo kiundani, maana umecheza na maneno bila kugusa hoja na ukafikia hitimisho kwa mtindo ule ule ambao uliwafanya wakina Socrates na Aristotle/Aristoto waendelee kuwa ni katika watu wajinga walio wahi kuishi hapa duniani.

Swali langu, vipi kuwepo kwa ubaya kuwe ni sharti la kutowepo kwa Mola ? Wakati muda huo huo unaambiwa Mola ni mjuzi wa yote ?
Unakubali mambo yenye contradiction kuwa yanawezekana kuepo kwenye uhalisia?

Kama vile, duara kuwa pembetatu kwenye Euclidean geometry planes?
 
Usiseme tukubali, nakuuliza kuhusu dhati ya tamko "Imani" nimekupa kazi utenganishe kati ya imani na matendo na uhalisia ?

Imani yangu ni potofu kwa wewe kuerejea wapi ?

Kwanza uwepo wa Mola si dhana, rekebisha hili, bali ni uhakika. Kingine nakupa miaka kumi ulete "contradiction" moja tu unayo iona ipo katika Mola wangu ninaye muamini yaani katika Uislamu. Kisha tuijadili, kwa sharti hakuna kukimbia swali hata moja.

Kingine siyo kila unalo hisi wewe lina utata au kupingana basi kweli lina utata, utata mara nyingi huletwa na mtu kuwa mjinga katika jambo husika au kutolielewa jambo hilo.

Kama hujaonyesha hiyo "contradictions" wewe ni "Mzandiki".

Sasa tujadili kielimu na ujibu maswali yangu.
Hujathibitisha Mungu yupo, hiyo habari ya kuwepo Mungu ni dhana tu.

Ukibisha, thibitisha Mungu yupo.
 
Ninapo jariburi kufikiri kumhusu Mungu mawazo yangu yananipa kufikiri kuhusu mtu aliyefuga mifugo tofauti nayo ikaamua kuweka hoja kumhusu bosi wao.
Ni haki yao kutenda vile ila mifugo isichokijua ni kwamba akili na uelewa wa mawazo ya boss wao yako juu mno na mbali sana na kile kiduchu walicho nacho mifugo kumhusu.
Mbuzi katika zizi waweza kuambizana wenyewe kwa wenyewe kuwa wao ndio walio karibu na kupendwa na boss kuliko mifugo mingine kwa hoja kuwa asubuhi aamkapo bosi au watumwa wa boss huanza kusafisha boma lao.
Ngombe huambizana wao kwa wao kwamba boss ni kama wao au wao wanaweza kuwa maboss kwa hoja kwamba mmiliki ndei anaewatafutia chakula na pia wakilia mmiliki hukimbia zizia kuona hitilafu na kuitatua hima.
Kuku huambizana wenyewe kwa wenyewe kwamba pamoja na boss kuwapenda na kuwahudumia, ni kwa nini amefuga ambae ambae anaonekana kuwa tishio kwa kuku hasa wawapo nje ya zizi? Na kuna wakati bosi alimsakisia mbwa aliyekuwa huru nje amkamate ili achinjwe siku mgeni alipokuja nyumbani hapo. Kuku humuona mbwa kama ni shetani japo hawaoni kama boss ana nia mbaya kuwahusu. Na hata wangeng'amua kuwa wanafugwa ili mwisho wa siku wawe kitoweo hawangeliweza kutoroka katika himaya ya boss wao wasiliwe nyama.
Kwa hiyo ni la heri zaidi hao mifugo kutojua nia ya boss wao ili kustawisha utengamano na amani waliyo nayo katika life span yao.
Sasa katika ule ufahamu mdogo sana walio nao mifugo katika kumjadili boss kuna majivuno mengi miongoni wa mifugo. Baadhi yao huona wana akili sana kiasi cha kuwa sawa na boss au hata kumzidi pale wanapojaribu kumweka kati ili wamsahili.
Katika uzao wa binadamu kuna kitu kinaitwa evolution na makuzi katika teknolojia.
Haina maana kilichopo katika sayansi ya sasa hakikuwepo zama za zana za mawe.
Haina maana wakati watu hawakuwa na habari ya uwepo wa sayari au wakati walipovumbua chache na sasa kunakiri ni nyingi hazikuwepo. Zilikuwpo!!
Huu ni udhihirisho wa kufahamu kiduchu sana kumhusu Muumba anaemiliki uumbaji wote na ambaye yeye hahitaji kujiongezea maarifa kama tufanyavyo sisi.
Mmiliki wa uumbaji huu ndie aliye program software inayotu drive kiasi kwamba hatuwezi kujiendesha nje ya kile tulichowekewa wala uwezo wa kuyakimbia maumbile yake tukaishi kwetu tuepuke kile alichokusudia kwetu hatuna.
Nataka kusema nini?
Mungu hupatikana kwa imani ambamo humo katika imani kuna hisi moja ya nyongeza nje ya zile tano za mwili kunusa, kugusa, kuona, kuonja na kusikia. Hisi hii ya nyongeza katika roho ndio inayoweza kuwa na tunda katika Mungu.
Kumjadili Mungu kwa kutumia bongo ( intellectual) tunabaki kuwa na mipaka kama wale mifugo wengine wote tukibaki na tambo ambazo kamwe haziwezi kutuokoa na malengo ya Mungu kutuhusu.
 
Hakuna mtu aliyeweza kuthibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo.

Kwa sababu Mungu huyo hayupo.

Tunajua Mungu huyo hayupo kwa sababu dhana ya kuwapo kwake ina contradiction.

Dhana ya kuwapo kwake ina contradiction ya "problem of evil".

Ama ulimwengu unaoruhusu mabaya upo, ama Mungu huyo yupo.

Viwili hivi haviwezi vyote kuwapo pamoja.

Ulimwengu unaoruhusu mabaya upo.

Mungu huyo hayupo.

Kama unabisha, thibitisha Mungu huyo yupo.
Quran 67: 1-2

"AMETUKUKA ambaye mkononi mwake umo Ufalme wote; na Yeye ni Mwenye uweza juu ya kila kitu.

Ambaye ameumba mauti na uhai ili kukujaribuni ni nani miongoni mwenu mwenye vitendo vizuri zaidi. Na Yeye ni Mwenye nguvu na Mwenye msamaha"

Hivyo maisha haya si chochote bali ni mtihani ambao Mungu amependa uwepo ili apime kila nafsi jinsi gani itatenda mema.

Ni uamuzi wake Mungu , kwa utashi na utukufu wake amepanga iwe hivyo na imekuwa.

Mungu anasema

Quran 21:23

"Yeye (MUNGU) hahojiwi kwa ayatendayo, na wao (Wanadamu) ndio wanao hojiwa kwa wayatendayo."

Tatizo la wasiomuamini Mungu ni kuwa wanataka kuhoji matendo ya Mungu!.

Huwezi ukaamka tu asubuhi ukasema kwanini Mungu umeruhusu wanadamu tuumwe? Au kwanini hujanipa utajiri kama uliompa fulani!?? Mungu haojiwi anafanya vile anavyotaka yeye na hakuna wa kumzuia ila sisi viumbe ndio tutahojiwa na Mungu juu ya yale tuliyoyatenda ktk ulimwengu huu.

Mungu ameruhusu good and evil things to happen in this world kwa hekima,elimu na busara zake!! Kuruhusu mambo mabaya yatokee haina maana kuwa yupo radhi nayo au anapenda uovu!! Hapana ameyaruhusu haya yote yatokee ili yawe ni mtihani kwetu sisi viumbe.
 
Back
Top Bottom