Nini kinapima huo uhalali? Hizo kanuni unazitoa wapi?
Ni kusema kuwa Logic Si Ukweli wenyewe? Logic si Nyenzo, Bali yenyewe ndio UKweli.
Kanuni za uhalali ni zipi? Zinatoka wapi? Nini kimeweka uhalali wake? Na ni halali kwa nami au Nini?
Hakuna Logic ndani ya MIHEMKO, maana MIHEMKO ni KIINI MACHO/NOTHING.
LOGIC haiweizi kuwa na UWILI, maana kuwa hivyo tu ni Udhaifu tayari.
Kwamba kidubwana kinachoundwa na Binadamu unafikiri kinaweza kuwa na perfection hii tunayosema hapa?
0/1 ya computer si kipimo cha Logic, kunaweza kuwa na proper binary process ya computer katika Mfumo wake, lakini bado screen ikashindwa kudisplay properly. UWILI wowote uko nje ya Logic.
Kushindwa kwa MTU kuitafsiri Logic hakufanyi MIHEMKO kuwa Logic. Udhaifu wa UWILI Wetu ndio unaofanya Logic tuone ni MIHEMKO.

Kinachopima uhalali ni kanuni, kanuni zimewekwa na watu kwa uchunguzi na urekebishanaji wa miaka mingi, hata wewe unaweza kupinga hizo kanuni na uki make sense dunia ikakuelewa na kukukubali, unabadilisha.
Logic si ukweli wenyewe, kwa sababu hata uongo una logic, mashaka ya kutojua ukweli ni upi na uongo ni upi yana logic, logic ni nyenzo ya kupata ukweli.
Mihemko si lazima iwe kiini macho, muhemko ni hali ya kupandwa na hasira au hamu kubwa. Inaonekana hili neno hulijui maana yake.
Jaribu kusoma tena maana ya mhemko ni nini, kama unataka kutoa maana nyingine, tumia neno tofauti, naona huelewi maana ya mhemko ni nini.
Translation for 'mhemko' in the free Swahili-English dictionary and many other English translations.
en.bab.la
Kusema binary system ya computer si logic kwa sababu haina ukamilifu ni sawa na kusema mtu mfupi si mtu, kwa sababu si mrefu.
Usahawahi kumsoma Godel? Unafahamu mchango wake katika logic? Unajua "Godel's Incompleteness Theorems" zinasemaje?
Godel's incompleteness theorems zimeonesha kwamba hakuna system ya logic iliyokamilika. Kwa hivyo, hiyo dhana yako ya logic iliyokamilika ni njozi tu.
Again, mhemko rudia kusoma tafsiri yake, hujui maana ya hili neno inaonekana.