Gold Mafia: Huduma ya utakatishaji fedha – Uchunguzi Uliofanywa na Al Jazeera

Huyu Uebert Angel nilitarajia angejiuzulu baada ya documentary ile ila ndio kwanza washirika wake wanaishambulia Al Jazeera!! Inashangaza sana.
Afrika hii kaka ,just imagine mpaka ushahidi wa video upo lakini mtumishi,wenzie na serikali yote inakataa ni kwamba eti wanamagharibi wanataka kuwachafua tu 😂🙌
 
Kwanza kuna kampuni hiyo Susan, ndio iliyosema kuwa chivayo atapata ajari ya chopa na atakufa, na imekua hivyo.

Chivayo amelipuliwa na mafia wenzake, ila Zimbabwe ni shamba la bibi au soko huria, Duuh.
Duh ni hatari sana
 
Si linapenda rushwa na ufisadi hilo lizee, huoni kuambiwa waarabu wanataka ardhi heka 30,000 lenyewe haraka haraka limejibu waje chapu eneo hilo lipo.
Duuuh 😂😂😂😂
Kuna mambo ukihadithiwa unaweza sema ni kumchafua mtu flani tu kumbe unakuta ni kweli kbs ,naamini haya hata huku Bongo yamefanyika sana ama kweli dunia tambala bovu .
Mfano nimeona tweet moja ya mwaka jana lijamaa lichivayo lilipotoka Bongo linasema linampango wa kuwekeza usd 500 millions Serengeti na Ngorongoro
 
😂😂😂
Kumbe mtumishi alikuwa sahihi kusema Mnangagwa ataongoza nchi hata kwa maisha yake yote kama akitaka maana yamechange na mfumo wa uchaguzi maskini Zimbwabe 😥🙌

President Emmerson Mnangagwa signed constitutional amendments into law on July 8, 2026, extending his presidential term to 2030.

Key Legislative Changes
• Term extension: Extended presidential, parliamentary, and local authority terms from five to seven years.
• Electoral shift: Abolished direct popular votes for the presidency; future presidents are elected by parliament.
• Election delay: Postponed the scheduled 2028 general elections to 2030.
• Judicial appointments: Granted the president power to appoint senior judges after consulting the Judicial Service Commission.

Context and Criticism
• Ruling party backing: Driven by the ruling ZANU-PF party holding a two-thirds majority in parliament.
• Democratic backlash: Opponents and Human Rights Watch criticize the move for bypassing a national referendum and eroding democratic accountability.
• Government rationale: Proponents claim the changes reduce election costs and foster long-term developmental stability.
BBC
Zimbabwe MPs pass bill extending President Emmerson Mnangagwa time in power
Legislation: Zimbabwe lower house passed constitutional amendment bill (216-42 votes) extending presidential and parliamentary terms from five to seven years.
 
Hatariii sana.
 
Kuna mambo ukihadithiwa unaweza sema ni kumchafua mtu flani tu kumbe unakuta ni kweli kbs ,naamini haya hata huku Bongo yamefanyika sana ama kweli dunia tambala bovu .
Mfano nimeona tweet moja ya mwaka jana lijamaa lichivayo lilipotoka Bongo linasema linampango wa kuwekeza usd 500 millions Serengeti na Ngorongoro
Sasa je, wamasai walikua wanatolewa kwa nguvu, kisa hilo libonge nyanya chivayo.
 
Naskia mwanamke wake mwingine kawekwa kizuizini na ndio alikua ana access na mambo yake mengi ya kimafia na marais
 
Michongo ipo ila ni kwa madon tu umaskini nje nje kule
sema hapo ndo kikwazo mzee..ila inawezekana ukiwa na kijimtaji ukaenda kule kuichora ramani na kuanza kujipenyeza talatibu mkuu japo itakuitaji mda mlefu na jasho jingi.. ILA NASIKIA HALUFU YA HELA HUKO MBABWE MZEE.
 
Back
Top Bottom