felakuti
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 659
- 1,207
Habari zao ni za azizi ki na hamisa wakiwa Dubai.Gold Mafia imenifumbua sana macho nikagundua Kuna mambo mengi sana yanafanywa na hawa wanaojiita viongozi, ila kwasababu waandishi wa habari wa bongo ni ma mbumbumbu wanaoendekeza uchawa hatuwezi kuyajua.