Gold Mafia: Huduma ya utakatishaji fedha – Uchunguzi Uliofanywa na Al Jazeera

Gold Mafia imenifumbua sana macho nikagundua Kuna mambo mengi sana yanafanywa na hawa wanaojiita viongozi, ila kwasababu waandishi wa habari wa bongo ni ma mbumbumbu wanaoendekeza uchawa hatuwezi kuyajua.
Habari zao ni za azizi ki na hamisa wakiwa Dubai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…