Goli la Simba dhidi ya Azam ASFC 2021

 

Attachments

  • VID-20210626-WA0043.mp4
    5.9 MB
Mkuu sorry hii ilikua game ya liva na nan vile ...niitafute maana kubishana na wasiojua mpira sitaki kumaliza nguvu zangu....
Ugumu wa tukio la simba hupo kwenye yale mazungumzo ya wachezaji wa Azam na Refa
 
Kuhesabu hatua za ukuta huwa ni faida kwa anayepiga mpira wa adhabu asizongwe.Sasa Azam wenyewe hawajaziba nafasi wanaenda kumlalamikia mwamuzi kwa faulo ya wazi waliyocheza ulitaka mwamuzi afanye nini?

Waliotakiwa kulalamika ni Simba kwanza kwa wachezaji wa Azam kuweka ukuta karibu na mpigaji pia kitendo cha kupotezewa muda kwa makosa ya wazi.
Refa hakuanzisha mpira. 2. Hakuhesabu hatua kwa ajili ya azam kuweka ukuta. Goli haram
 
Huo mjadala wameuanzisha Azam wenyewe wakilalamikia faulo huku wameacha kuziba nafasi
 
1. Sasa refarii alikuwa anajadili nini nawachezaji?

2. Kujadiliana na wakinga ukuta tuseme refarii kachangia kuwahujum?

3. Kwanini refa aingilie nakuwapa maelezo azam.... alitaka wapange ukuta? Alitaka wasogee nyuma?

Please
Am sorry to say hujui mpira Wala hufuatilii mpira.

Jifunze Sheria kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…