Goli la Simba dhidi ya Azam ASFC 2021

Goli la Simba dhidi ya Azam ASFC 2021

Kifupi refarii kawahujumu Azam

Kwanini afanye mjadala pale, maana yake kiakili amewacheza Azam

Kwakuongea na baadhi yao na mpira kuanza mafichoni ..... refarii hakupaswa kuruhusu ule uhuni

Endapo angekuwa sio sehemu ya majadiliano may be lingeweza kuwa goli
 

Attachments

  • VID-20210626-WA0043.mp4
    5.9 MB
Mkuu sorry hii ilikua game ya liva na nan vile ...niitafute maana kubishana na wasiojua mpira sitaki kumaliza nguvu zangu....
Ugumu wa tukio la simba hupo kwenye yale mazungumzo ya wachezaji wa Azam na Refa
 
Quick start lazima mwamuzi awe mchezoni.
Check.

IMG-20210626-WA0048.jpg
 
Kuhesabu hatua za ukuta huwa ni faida kwa anayepiga mpira wa adhabu asizongwe.Sasa Azam wenyewe hawajaziba nafasi wanaenda kumlalamikia mwamuzi kwa faulo ya wazi waliyocheza ulitaka mwamuzi afanye nini?

Waliotakiwa kulalamika ni Simba kwanza kwa wachezaji wa Azam kuweka ukuta karibu na mpigaji pia kitendo cha kupotezewa muda kwa makosa ya wazi.
Refa hakuanzisha mpira. 2. Hakuhesabu hatua kwa ajili ya azam kuweka ukuta. Goli haram
 
Huo mjadala wameuanzisha Azam wenyewe wakilalamikia faulo huku wameacha kuziba nafasi
Kifupi refarii kawahujumu Azam

Kwanini afanye mjadala pale, maana yake kiakili amewacheza Azam

Kwakuongea na baadhi yao na mpira kuanza mafichoni ..... refarii hakupaswa kuruhusu ule uhuni

Endapo angekuwa sio sehemu ya majadiliano may be lingeweza kuwa goli
 
1. Sasa refarii alikuwa anajadili nini nawachezaji?

2. Kujadiliana na wakinga ukuta tuseme refarii kachangia kuwahujum?

3. Kwanini refa aingilie nakuwapa maelezo azam.... alitaka wapange ukuta? Alitaka wasogee nyuma?

Please
Am sorry to say hujui mpira Wala hufuatilii mpira.

Jifunze Sheria kwanza
 
Back
Top Bottom