Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
- Thread starter
-
- #81
πππSio kwamba unamuogopa mnyama
Achana na huyu utopolo hajui mpira
uridhishwe kama nani?πππ
Mimi napenda ladha ya soccer kwa mshindi anayeshinda vizuri na kila mmoja anaridhika. Mshindi na aliyeshindwa.
Ujanja ujanja na ghiriba .....
Wachezaji ndo waliinitiate kuongea na refa, wangefanya hivyo huku mmoja wao amekaa mbele ya mpira usipigwe. Makosa ni yao mkuuSiwalaumu wachezaji wa Simba lakini je mwamuzi alikuwa anawahadaa wachezaji wa Azam? Maana walikuwa wanazungumza pale.
Iangalie vizuri clip iliyotupiwa kwenye uzi huu. Hii clip ni ya mechi nyingi. Kuna mechi moja wachezaji walikuwa wanamzonga mwamuzi na free kik ikapigwa refa akakubali goli na mpira ukawekwa kati. Kuna nyingine golikipa alikuwa ameegemea goli ili aanze kuwapanga wachezaji wake na fasta free kik ikapigwa akabaki ameegemea goli wakati nyavu zinatikisika!!Mkuu yanafungwa sana lakini marefa huwa hawafanyi distraction.... ikitokea anapiga filimbi ku align
πππ
Mimi napenda ladha ya soccer kwa mshindi anayeshinda vizuri na kila mmoja anaridhika. Mshindi na aliyeshindwa.
Ujanja ujanja na ghiriba .....
Nilikuwepo ndani ya Simba aisee Simba yenyewe kama ni hii!!,mbona kimba tuYale magoli yanafungwa na timu kubwa kubwa tu
Refa ndo aliwafuata wachezaji wa wa Azam au wao ndio wakimfuata refa?Kwanini mpira
1. Ukimgonga referii unarudi kwake aukabidhi kwa wahusika
2. Kwanini mchezaji akiwa offside japo hajagusa mpira lakini kama kamcheza kipa kwa maana moja ama nyingine inaitwa distraction
Tunaongelea refarii kuwacheza Azam yaani distraction
Utopolo hamueleweki! Nyie si jana tu mlikuwa mnafurahia kutangulia Kigoma, na mkijidai hamumtaki Azam, mnamtaka Simba?Ni mjinga tu au mtu asiyejua kanunu za mpira anaweza kusema ni goli halali lile. Mpira uliokufa unaanzishwa na refaree.
Kwenye football kitu kama hicho ni ngumu, pamoja na VAR, goal line technology, marefa watanoπππ
Mimi napenda ladha ya soccer kwa mshindi anayeshinda vizuri na kila mmoja anaridhika. Mshindi na aliyeshindwa.
Ujanja ujanja na ghiriba .....
Lile bao hakuna kosa kwa upande wa Simba wala Mwamuzi, ni akili kubwa ya Wachezaji wa Simba kwenye hatua kama zile
Rejea Simba dhidi ya Nkana kwenye Klabu bingwa Afrika, move ya faulo ilikuwa kama ile, Wachezaji wa Nkana walipoteza concentration, Simba wakawahi kuweka (Quick thinking)
Azam au Mtu yoyote ambaye ni Mwanasoka ajue inapotokea faulo yoyote lazima kwanza ukazibe mpira, zibeni mpira huku wengine wanaongea na Mwamuzi
Wenzetu Ulaya ile mali hata akichezewa faulo anawahi kuidaka kwanza ikae eneo lake, wengine kwenye ukuta na wengine wanakaa karibu na mpira
Sasa Azam wengine wapo kwa Mwamuzi na wengine wanajipanga, wakaacha mpira kwa Simba, ni akili ya haraka Simba wakaitumia kufunga lile bao, hizo ndio akili za Wazoefu
Kilichotokea ni kuendelea kujifunza, kukomaa na kujua nini kinahitajika kwa wakati ganiView attachment 1830891
Huyo mwenyewe uliemtaja ka-copy.Mpe credit Jr.Farhanjr,umeicopy kwa page yake ukaileta kama ilivyo na ukamute kutoa credit,unless uwe ni wewe ndiyo mwenye Original post kule IG [emoji3][emoji3]
Ni mjinga tu au mtu asiyejua kanunu za mpira anaweza kusema ni goli halali lile. Mpira uliokufa unaanzishwa na refaree.
Mkuu, unalikumbuka lile goli la free kick alilofunga Thiery Henry alilowafunga Chelsea?Yale magoli yanafungwa na timu kubwa kubwa tu
1. Sasa refarii alikuwa anajadili nini nawachezaji?
2. Kujadiliana na wakinga ukuta tuseme refarii kachangia kuwahujum?
3. Kwanini refa aingilie nakuwapa maelezo azam.... alitaka wapange ukuta? Alitaka wasogee nyuma?
Please
Faulo ilipulizwa.Maana yake mchezo umesimama.
Ili mchezo uendelee lazima refarii aruhusu tena.
Mazingira yale ya mpira hata kama ni kwiki thinking'i siyo sahihi.
Ingekuwa refarii haongei na mtu sawa.
Ila mchezaji mmojawapo wa Azam yupo na refarii,wanaongea.
Hata kama kanuni zinaruhusu jambo hili siyo sahihi.
Kipyenga kipulizwe.
Pale ni karibu na goli,ukuta uwekwe
Wenye faida na pigo wapige mpira.
Mazingira ya namna ile yanatengeneza maamuzi yasiyo sahihi kwa waamuzi,wengine wanaweza kuzuia ile 'move' ya mpira na kuamuru upigwe tena.
Wengine wakaacha lililoanza liendelee.Yaani tunaruhusu maamuzi ya 'utashi' badala ya maamuzi ya sheria.