Goli la Simba dhidi ya Azam ASFC 2021


Ukuta kwenye mpira sehemu hiyo karibu na goli ndio unapangwaga hivyo.. kwa umbali huo

 
Ni mjinga tu au mtu asiyejua kanunu za mpira anaweza kusema ni goli halali lile. Mpira uliokufa unaanzishwa na refaree.
We unajua kanuni za mpira au ndo unatumia zero brain [emoji3525][emoji3525]
 
Mkuu upo sahihi kabisa anaesimamisha mchezo no muamuz na anaeanzisha mchezo no muamuzi Simba walianzisha bila filimbi ya muamuzi Cha ajabu atamuamuzi alikurupuka kukimbia kuangalia mpira ulioingia golini na kuita mpira Kati ni upuuzi wa muamuzi asiyejua kazi yake au kunakitu kilikua kinaendelea kichwani kwake.
 
Hujaangalia mpira mkuu nadhani
 
Humu wamejaa mashabiki wasiojua mpira.Ni sawa na wachambuzi wengi wa soka wa kibongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…