ZionGate
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 6,362
- 2,991
Iangaliwe kwa sababu Azam kafungwa?Tatizo hujanisoma vizuri.
Nimesema hata kama ni kanuni iangaliwe upya,sio sahihi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iangaliwe kwa sababu Azam kafungwa?Tatizo hujanisoma vizuri.
Nimesema hata kama ni kanuni iangaliwe upya,sio sahihi.
hata goli Liver na Barca,ilipigwa na OrigMkuu, unalikumbuka lile goli la free kick alilofunga Thiery Henry alilowafunga Chelsea?
Kwani alikuwa nje ya uwanjaQuick start lazima mwamuzi awe mchezoni.
kama unaweza puliza filimbi isiwe goliQuick start lazima mwamuzi awe mchezoni.
Sawa Mrs utopoloWrite your reply...lile sio goli, simba kabebwa
Lile bao hakuna kosa kwa upande wa Simba wala Mwamuzi, ni akili kubwa ya Wachezaji wa Simba kwenye hatua kama zile
Rejea Simba dhidi ya Nkana kwenye Klabu bingwa Afrika, move ya faulo ilikuwa kama ile, Wachezaji wa Nkana walipoteza concentration, Simba wakawahi kuweka (Quick thinking)
Azam au Mtu yoyote ambaye ni Mwanasoka ajue inapotokea faulo yoyote lazima kwanza ukazibe mpira, zibeni mpira huku wengine wanaongea na Mwamuzi
Wenzetu Ulaya ile mali hata akichezewa faulo anawahi kuidaka kwanza ikae eneo lake, wengine kwenye ukuta na wengine wanakaa karibu na mpira
Sasa Azam wengine wapo kwa Mwamuzi na wengine wanajipanga, wakaacha mpira kwa Simba, ni akili ya haraka Simba wakaitumia kufunga lile bao, hizo ndio akili za Wazoefu
Kilichotokea ni kuendelea kujifunza, kukomaa na kujua nini kinahitajika kwa wakati ganiView attachment 1830891
Ndio goli sasaNi mjinga tu au mtu asiyejua kanunu za mpira anaweza kusema ni goli halali lile. Mpira uliokufa unaanzishwa na refaree.
Morris mwenyewe kakubali ni uzembe waoamepigwa azam wanalia yanga
maajabu hayatakwisha dunia hii
ficha ignorance mkuuUkuta kwenye mpira sehemu hiyo karibu na goli ndio unapangwaga hivyo.. kwa umbali huo
View attachment 1831117
Na siku zote mtu mwenye kidomodomo kichwani hamna kitu..Kumbe nimegundua kwa nini utopolo kila siku wanalalamika wanaonewa tatizo ni kwamba hawajui mpira. Leo wangekuwa wao polisi wangepata kazi ya kulinda usalama.
Refa hakuanzisha mpira. 2. Hakuhesabu hatua kwa ajili ya azam kuweka ukuta. Goli haram
We unajua kanuni za mpira au ndo unatumia zero brain [emoji3525][emoji3525]Ni mjinga tu au mtu asiyejua kanunu za mpira anaweza kusema ni goli halali lile. Mpira uliokufa unaanzishwa na refaree.
Ukuta kwenye mpira sehemu hiyo karibu na goli ndio unapangwaga hivyo.. kwa umbali huo
View attachment 1831117
Hizo K*nge unadhan zinajua kitu?Kumbe nimegundua kwa nini utopolo kila siku wanalalamika wanaonewa tatizo ni kwamba hawajui mpira. Leo wangekuwa wao polisi wangepata kazi ya kulinda usalama.
Walitukataa tarehe 3amepigwa azam wanalia yanga
maajabu hayatakwisha dunia hii
Hujaangalia mpira mkuu nadhaniMkuu upo sahihi kabisa anaesimamisha mchezo no muamuz na anaeanzisha mchezo no muamuzi Simba walianzisha bila filimbi ya muamuzi Cha ajabu atamuamuzi alikurupuka kukimbia kuangalia mpira ulioingia golini na kuita mpira Kati ni upuuzi wa muamuzi asiyejua kazi yake au kunakitu kilikua kinaendelea kichwani kwake.