Goli la Yanga dhidi ya Mamelodi mzozo ni mkubwa South Africa kuliko Tanzania, CAF inapoteza credibility

Waamuzi wa hii mechi walifanya kitendo cha kihuni sana. Na uzuri dunia imeona kila kitu.
 
mpira unaangaliaga prke yako mkuu au vp...?
 
Wakati simba anafungwa goli la off side mwaka juzi na Orando Pirates mliona kawaida na kuwadhihaki . Jana mmedhurumiwa ndo mnatafuta huruma siyo?

Haya mambo ndiyo huwa ninawambia , tuache ushabiki wa usimba na uyanga usio na tija kwenye soka letu. Penye ukweli tuseme siyo kuwa tunadhihakiana kwa kuanzisha nyuzi zisizo na mashiko.
 
Kufananisha tukio la jana na matukio mengine ya ligi ya Tanzania ni kukosea kwa makusudi. Caf wana VAR ambayo inapaswa kutumika kusolve matukio tata kama la jana, so controversy ikitokea kwetu huku ni sahihi kumlaumu au kutokumlaumu refa maana hamna namna nyingine ya kuthibitisha usahihi au ubatili wa maamuzi yake sasa kwa jana tunauliza kwanini mwamuzi hakutaka kujiridhisha kwenye VAR, ipo ya nini?
 
Mimi naona jumatatu mashabiki wa yanga waandamane kwenda kwa mama kama kawaida yao ili apate kulitazama na hili haiwezekani wananchi wanyonge wananyang'anywa haki yao kwa nguvu.
 
Kila kona ni Yanga tu.....utadhani kile kikundi ni cha wacheza rede, hakisikiki kabisa
South Africa mpaka dakika hii mjadala ni mkubwa kuliko Bongo.

Halafu inaonekana Kaizer Chiefs ndio Wana bifu zaidi na Mamelodi.
 

Attachments

  • 6BF9ACA7-9785-4BF8-8B19-B90C0F478C10.jpeg
    203.2 KB · Views: 3
Yanga wanataka kuifanya hii kitu iwe trend kubwa duniani, dunia yote isimame tuache hata kula mbususu tukae tu discuss goal la yanga... Acheni usenge
 
Ukweli lile sio goal hata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…