KALINZI NYUMBANI
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 2,083
- 2,183
Weak government ni ile ambayo inaweza ruhusu vijana zaidi ya elfu 3 kuuwawa ndani ya siku mbili, tena wengine wakiwa ndani mwao. Naamini tutafika mnapotaka kutupeleka hii ni nchi yetu wote, sio yako wala ya Samuya.Hizo zilikuwa weak government. Usitufananishe na mambo ya kijinga
Mimi mtu wa bara hivyo sijui mawimbi yanakuwaje mkuu?Unauliza mawimbi baharini.
Kazi nzuri.
Umeshawahi kuuliza huko USA watu wangapi wanakufa kwa siku?Weak government ni ile ambayo inaweza ruhusu vijana zaidi ya elfu 3 kuuwawa ndani ya siku mbili, tena wengine wakiwa ndani mwao. Naamini tutafika mnapotaka kutupeleka hii ni nchi yetu wote, sio yako wala ya Samuya.
Wakifa USA ndo na Wazanzibar wake kuwauwa WatanganyikaUmeshawahi kuuliza huko USA watu wangapi wanakufa kwa siku?
Fanya ratio comparison kulingana na idadi ya watu. Na sababu zao watu huo kufa ni nini?.Umeshawahi kuuliza huko USA watu wangapi wanakufa kwa siku?
Ile voters turnout iliwaumiza vibaya sana. Imeonekana madai ya cdm kuwa huwa mnawaibia kura ni kweli, maana wao wakishiriki ndio wapiga kura wanajaa. Hatimaye chama cha zamani kikashuhudia ukweli juzi. Saa hii mmbeki mmepanick vibaya.Wanachi kutoka twita, JF, fesibuku na insitagilamu. Hao unowazungumzia ni wananchi hewa. Hakuna uraia kwenye social media.
Jibu swali, acha kukimbia umesema strong country haziui watu. Nimekuuliza umewahi kuuliza huko USA watu wangapi wanakufa kwa siku?Wakifa USA ndo na Wazanzibar wake kuwauwa Watanganyika
Wew kwenye target ni muhimu sanaKazi nzuri.
In the age of information ignorance is a choice.Mimi mtu wa bara hivyo sijui mawimbi yanakuwaje mkuu?
Watu zaidi ya 32M wamepiga kura Kwikwikwikwikwi acha uzwazwa basi.Ile voters turnout iliwaumiza vibaya sana. Imeonekana madai ya cdm kuwa huwa mnawaibia kura ni kweli, maana wao wakishiriki ndio wapiga kura wanajaa. Hatimaye chama cha zamani kikashuhudia ukweli juzi. Saa hii mmbeki mmepanick vibaya.
sasa si ukakojoe kwa mama yako bure tuKweli bado sijakuwa nataka unikuze pia nipate pa kukojolea!! 🤣🤣
Ni lini serikali ya USA waliiba uchagu na kuingia mitaani kuuwa raiaJ
Jibu swali, acha kukimbia umesema strong country haziui watu. Nimekuuliza umewahi kuuliza huko USA watu wangapi wanakufa kwa siku?
Nakumbuka Trump alimlalamikia Biden kuwa ameiba kura. Au miaka ile ulikuwa bado unanyonya?Ni lini serikali ya USA waliiba uchagu na kuingia mitaani kuuwa raia
Yani unafananisha kichwa Muuwaji na USA
Huu utawala na chawa wao,jinsi wanavyotuuwa tutawapa majibu mabaya sanaNi hivi, hao mnaowakamata wakamateni sana. Ila siku ya uchaguzi wananchi wamesema kwa vitendo hawawataki. Maandamano yalihitimisha tu sauti ya umma. Hicho mnachofanya ni kuficha aibu na kupunguza hasira ya kukataliwa na wananchi. Na maandamano ya siku za mbeleni lazima tushike silaha. Hamtaweza kutawala watu tena kwa shuruti. Hatuwataki, ujumbe huo ufike kwa
Aliiba kura na wakati alishindwa uchaguziNakumbuka Trump alimlalamikia Biden kuwa ameiba kura. Au miaka ile ulikuwa bado unanyonya?
Kwahiyo Trump alikuwa muongo?Aliiba kura na wakati alishindwa uchaguzi
Marekani sio kama huko TanganyikaKwahiyo Trump alikuwa muongo?
Mmeaibika vibaya juzi, kama mlikuwa hamuamini kuwa hamkubaliki, basi sasa mmefahamu vyema.Watu zaidi ya 32M wamepiga kura Kwikwikwikwikwi acha uzwazwa basi.