Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Me imegomaaa...[emoji22][emoji22][emoji22]
 
Google wamewekeza sana katika softwares kuliko sensors kwenye upande wa camera....

Ila huawei ndo balaa kwenye upande wa sensors za camera za simu... I wish wangekuwa vizuri pia kwenye upande wa software.
 
Kuanzia p20 pro kila kitu kilibadilika... nilikuja kudata kwenye p30 pro niliposoma concept ya telescopic camera...

 
unazungumzia huawei y300 au? hakuna simu inakaa na charge kwa sasa kama huawei p30 pro... pia ndio simu inajaa kwa haraka 70% in 30 minute.... kwenye fast charging hakuna simu inaikuta huawei...

Labda tuwasubiri Xiami na 100W fast charger yao... ambayo wanadai itakuwa inacharge simu 100% kwa 17 minutes tu
Tatizo simu za huawei hazina fast charging, simu unachaji masaa matatu
Ila kwenye kamera wako vizuri
 
Mi natumia redmi note 6 pro imegoma asew au sijui nakosea wapi boss?

kcamp
mkuu redmi note 6 pro unatakiwa ku enable camera 2Api..ni ka process kidogo

hiyo simu yako ina twrp recovery?
 
Kuna vitu bado anakwana na camera moja...
kwenye teknolojia ya camera sidhani kama kuna anaemzidi Google..
kampuni zingine zinatoa mpk simu za camera 4 & bado hawamfikii yeye mwenye camera moja!
 
sana mkuu!
naamini na mwaka huu walivyoleta hiyo pixel 3a itasaidia kuongeza soko lake kwani wengi kilichokuwa kinatushinda ni bei
Pixel 3a na 3a xl ni bugdet phones
 
Kama unataka udonwload GCam nmechek hapa inaanza na 86mb hadi 120mb kaz kwenu wapenda picha nzur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…