Jitahidi sana ubadilishe Mindset yako. DUNIA imebadilika sana. GPA sio tena kipimo cha uelewa na kigezo kinachozingatiwa kwenye Non Academic Sphere. Na sasa hivi ukionekana unashupalia hayo mambo ya GPA wewe ni mshamba. Kuna vijana mjini hapa wameajiriwa na wanalipwa Millions na sio sababu ya GPA ila ni sababu ya nini wanachodeliver na kusolve.Nafikiri tumechelewa sana kujua umuhimu wa pass za juu katika kupaisha Taifa kiuchumi nk
Hivi inakuwaje mwanafunzi amemaliza Chuo amepata GPA ya 4.8 au kwa wenzetu wa Arts wanapata hadi GPA 5 naye yupo mtaani hana ajira?
Binadamu ni wanafiki sana mkuu yani ila bora umepata kushuhudia kuwa katika maisha huwa thamani ya mtu aionekani asipokuwa na kitu😅😂😂😂umenikumbusha mbali kipindi na mimi nimemaliza chuo nahustle hakuna aliekua na time na mimi,wote wenye uwezo wananicheki tu waone nitaishia wapi,wengine wananisikitikia eti kasoma lakini hana kazi,anadhurura mtaani,elimu haijamsaidia
Nimekuja kulamba shavu kwa juhudi zangu,mambo safi sasa naanza ona simu simu,mara naitwa kijana wetu,mara kaka.
Walikua na vijigari vyao,wamejenga vijumba wanajidai dai,nimewalipa mara mbili.
Binadamu ni wanafiki,nimechinjia wote baharini,wanabaki wanasema tu.ooh eti ninadharau 😂
Ulikua huna time na mimi,na mimi sina time na wewe
Sitakagi ujinga
Sio kilaJinsia ina umuhimu hapo, kama mwenye hiyo GPA ni mwanamke ujue RUSHWA YA NGONO ilihusika ndio waajiri hawaiheshimu sana. Tupambane sio lazima tuajiriwe..maisha yanaenda kwa kazi yeyote...lialia haisaidii
Eeh hilo ndio la muhimu! Unajuana na nani?Kwenye hii duania haijalishi unajua nini. Kinacho matter ni unajuana na nani.
Mtoa mada buana!mtaani na maofisin hatuishi kwa GPA,Mimi Nina GPA ya 2.1 lakini pengo langu hakuna wa kuliziba ofisini kwetu ingawa wapo wenye hizo GPA za 4s.
Jitahidi sana ubadilishe Mindset yako. DUNIA imebadilika sana. GPA sio tena kipimo cha uelewa na kigezo kinachozingatiwa kwenye Non Academic Sphere. Na sasa hivi ukionekana unashupalia hayo mambo ya GPA wewe ni mshamba. Kuna vijana mjini hapa wameajiriwa na wanalipwa Millions na sio sababu ya GPA ila ni sababu ya nini wanachodeliver na kusolve.
Kwa kifupi naomba tu nikwambaie acha ushamba
[emoji38][emoji38]BA Kiswahili Fasihi, TEKU
Bahati na connection piaLeo nilikua namwambia kijana wangu kwamba....
Shule itampa maarifa, lakini kusoma hakumpi guarantee ya kufanikiwa.
Lakini nilimwambia kwamba.....
Akishaipata elimu, atakua namaarifa. Ili afanikiwe anapaswa kuwa mwenye bidii na nidhamu
Nafikiri tumechelewa sana kujua umuhimu wa pass za juu katika kupaisha Taifa kiuchumi nk
Hivi inakuwaje mwanafunzi amemaliza Chuo amepata GPA ya 4.8 au kwa wenzetu wa Arts wanapata hadi GPA 5 naye yupo mtaani hana ajira?
Yes ni kweli , kama vile kina mzee wa jalalanikwa Nchi za wenzetu ukisoma Chuo chenje jina ukapata hizo pass, unaombwa ubaki na kutafutiwa kazi na nyingine huenda mbali na hata kupewa Uraia wanajua umuhimu wa mchango wako kwa Taifa lao hata kama hautakuwa direct.
Huku kwetu mtu anapata GPA ya 4.8 anabaki anazurura hadi aonekane achukuliwe kunufaisha huko nje (tunasubiri kazi zitangazwe, Shame!
Ukweli ni kuwa, watu wa hizo pass wapo very serious kwa chochote atakachofanya
Tuambie kwanza hivyo vyuo ambavyo mtu anapata hizo GPA.Nafikiri tumechelewa sana kujua umuhimu wa pass za juu katika kupaisha Taifa kiuchumi nk
Hivi inakuwaje mwanafunzi amemaliza Chuo amepata GPA ya 4.8 au kwa wenzetu wa Arts wanapata hadi GPA 5 naye yupo mtaani hana ajira?
Usilinganishe pass mark za huko nje na pass mark za baadhi ya vyuo vyetu, kuna utofauti mkubwa.kwa Nchi za wenzetu ukisoma Chuo chenje jina ukapata hizo pass, unaombwa ubaki na kutafutiwa kazi na nyingine huenda mbali na hata kupewa Uraia wanajua umuhimu wa mchango wako kwa Taifa lao hata kama hautakuwa direct.
Huku kwetu mtu anapata GPA ya 4.8 anabaki anazurura hadi aonekane achukuliwe kunufaisha huko nje (tunasubiri kazi zitangazwe, Shame!
Ukweli ni kuwa, watu wa hizo pass wapo very serious kwa chochote atakachofanya
MaselaBila connection GPA itakuwa kama Gazeti kwenye geto la masera
Da Joi Ndalichako Wa Kasulu Anasemaje Yeye MwenyeweYachuo gani maana kunavyuo broo GPA ya tano lakini kichwani patupu na unakuta hata ukisema anielezee kwa dk kadhaa kwakimalkia hawezi ulitaka awe wapi.
Kuna vyuo mtu mwenye GPA ya 4.5 anabaki Kama tutorial chuoni au kwenye matawi ya chuo hicho.
Kuna jamaa form four alitoka na dv 3-25, form six alipata dcde lakini ameenda chuo Fulani Arusha amepata GPA ya 4. Kwahiyo usiangalie GPA angalia na chuo Kuna vingine......... acha niishie hapa.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hayo yalikuwa mawazo ya kizamani sana hata ulaya kuna GPA 5.0 wapo tu acheni kudanganyana nchi zilizo nying ajira ni chache kuliko wahitajikwa Nchi za wenzetu ukisoma Chuo chenje jina ukapata hizo pass, unaombwa ubaki na kutafutiwa kazi na nyingine huenda mbali na hata kupewa Uraia wanajua umuhimu wa mchango wako kwa Taifa lao hata kama hautakuwa direct.
Huku kwetu mtu anapata GPA ya 4.8 anabaki anazurura hadi aonekane achukuliwe kunufaisha huko nje (tunasubiri kazi zitangazwe, Shame!
Ukweli ni kuwa, watu wa hizo pass wapo very serious kwa chochote atakachofanya
sorry ni elon muskTesla yupi jmn tena?
Mtaji ndio changamotoSasa kama hana ajira wa kulaumiwa ye yeye mwenyewe huyo bwege [emoji1][emoji1]..
Kwa GPA hiyo atengeneze ajira aajiri wengine.