GPSA: Tuhuma za ufisadi, matumizi mabaya ya madaraka na mengineyo

Waswahili sisi ni wabobezi wa fitina na majungu, kuna mtu anatafutwa, mtujuze mkifanikiwa, acheni roho mbaya, si mna vikao vya wafanyakazi na mnayo Board of Directors, pelekeni huko malalamiko yenu, shubamit
Boss huwezi ukamsema mbele ya kadamnasi ya kikao labda kama umejitoa mhanga wakuhamishe na wabosi wengine kama huyo DBSS unaambiwa ni watu wanaofanya sana ishu za ulozi inaweza ukajikuta ubakatishwa maisha
 
Ni zenu mlioondolewa na sasa mazingira hayaruhusu.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Wewe mzee jakatugu kweli umepaniki, mimi sijawahi kuwa GPSA na hapa niko GENEVA - USWISI mda huu ninavyoondika, kwa uzalendo nahitaji kufahamu hili maana umeonekana unalijua vizuri.

Ukishindwa basi na wewe utakuwa ni mhusika unajaribu kuficha maovu maana hauna utetezi wenye hoja nzito..unasema ni zetu..sisi akina nani? Taja kampuni, taja na wamiliki
 
Hivi mtu analogaje kufunika madhambi ya ufisadi aisee nji hii ni shida
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo taasisi sijawahi kuifatilia ila nilikua naona ipo kimagumashi tuu kupitia wafanyakazi wake yaani hawana Nuru...
 
Nashukuru kuwa wewe ni sehemu ya watu wa clearing ambao mnakereka na maamuzi ya serikali kuipa GPsa nafasi


Sent from my iPhone using JamiiForums
😀😛😀huyu jamaa apuuzwe kashapanick inawezekana anahusika, anatapatapa.

Zuia Ufisadi, ipende nchi yako...Hawa washughulikiwe tu
 
Acheni majungu, fanyeni kazi. Mbinu zenu za wizi zimebanwa mnaanza kulalamika. Kwa ufupi umeandika majungu, na hauna ushahidi mwizi mkubwa na fisadi. Na kwa ufupi CEO yupo hapo na ataendelea kufanya kazi kwa weledi kwa kulifanya shirika liwe na ufanisi. Huyo mama CEO ni kichwa na muadilifu!
 
Nashukuru kuwa wewe ni sehemu ya watu wa clearing ambao mnakereka na maamuzi ya serikali kuipa GPsa nafasi


Sent from my iPhone using JamiiForums

Mimi sio sehemu hiyo but I am telling you the truth. Na usiniamini, tunaomba serikali ifanye Survey juu ya malalamiko. There is nothing personal
 
Hebu soma hoja za FRAME-19 halafu utusaidie kujua, maana unaonekana unapajua...hapa naona kama CuteJancs alikuwa ni mchokoza mada tu
 
Ndio wamehamishwa hyo isiwe sababu ya kufumbua macho madudu yanayoendelea kwenye taasisi, Tena na wewe inaonyesha ni mhusika na mliwahamisha ili kuwakomoa kwanini uwashambulie kuwa ni wapenda majungu?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahyo watu waendelee tu kujipigia vitu vya umma kwakutokufata procedures are you serious?
Waswahili sisi ni wabobezi wa fitina na majungu, kuna mtu anatafutwa, mtujuze mkifanikiwa, acheni roho mbaya, si mna vikao vya wafanyakazi na mnayo Board of Directors, pelekeni huko malalamiko yenu, shubamit

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu soma hoja za FRAME-19 halafu utusaidie kujua, maana unaonekana unapajua...hapa naona kama CuteJancs alikuwa ni mchokoza mada tu
Parabora GPSA kulikuwa na mtandao wa wizi kama ilivyokuwa TPA/TRA/TAA/NHC/NSSF. Yaani vikundi hivi vya wezi/mafisadi vina mitandao mipana sana. Wanao lalamika kwa sehemu kubwa ni wale waliokosa fursa, waligundulika wakahamishwa, uchunguzi wa maovu yao unaendelea au washirika wao mambo hayaendi vizuri hivyo wana tafuta pa kutokea. Kuhusu huyo DBSS simjui na sifahamu ana husika na kitu gani, lakini pia CEO simfahamu, ila GPSA kabla ya huyu CEO mpya walikuwa wa ovyo sana, waliuzia serikali gharama kubwa sana kuzidi hata TOYOTA ya Tanzania na walifanya uhuni mwingi sana wakati wao walitumia bulk procurement ambapo bei inapaswa kuwa kidogo. Mleta maada apuuzwe kwa sababu kama ni posho ina maana mwaka huu ndiyo wamegundua hazitoshi??? Si ni kwa sababu walikuwa wezi kama ofisi ya CAG??? Yaani mtu anakuwa na hela nyingi za kifisadi mpaka hajali mshahara wake, ila siku wakiziba mianya anaanza kukumbuka mshahara. Ofisi mfano ya CAG ilikuwa na watu wenye ACCA ila walikubali kuchukua mishahara chini ya 1milion ila leo nao eti maslahi hayatoshi. In general GPSA sasa inamuelekeo mzuri zaidi.
 
Sasa mkuu, mbona FRAME-19 amezungumzia Ufisadi tangu enzi za mwambega mpka mda huu Ina maana wote wa kipindi hicho wameunganishwa
Kama Kuna ambao unawafahamu weka fact kizalendo kulinda maslahi ya nchi yetu na sio majungu.

Hebu leta hoja nzito kumpinga FRAME-19 maana naona hajaegemea upande wowote zaidi ya kutoa maovu yanayofanyika na Sasa Kama huwajui na hupajui GPSA unawezaje kuwapinga na kusema sio kweli, mbona unanipa mashaka na kuona Kama unatumika kuficha maovu

Hebu tupe nondo, Yaani ile magufuli akiona unakuwa umemsaidia pa kuanzia.

FRAME-19 akiweka nondo yake moja inakuwa imejitosheleza haina majungu na anaonekana kuijua vizuri taasisi, hata mzee jakatugu aliyepo GPSA kwa mda mrefu amekubali kwamba tuhuma ni za kweli japo anazipinga kwa hoja nyepesi Kama zako
 
Parabora ndiyo maana nikasema huyo DBSS na CEO siwafahamu ila jambo moja nina uhakika ni muelekeo wa shirika na pia utendaji wa CEO mpya kwani pamekua na uharaka na ukweli kwenye kuagiza magari ya serikali.
 
Parabora ndiyo maana nikasema huyo DBSS na CEO siwafahamu ila jambo moja nina uhakika ni muelekeo wa shirika na pia utendaji wa CEO mpya kwani pamekua na uharaka na ukweli kwenye kuagiza magari ya serikali.
Hapa hawazungumzii uharaka, unazungumziwa upigaji, madili, Ufisadi..sijui tunaelewana?
 

Wakiambiwa ukweli hawataki, walikuwa ni wezi sana, na walipoahamishwa kwa kushirikiana na wafanyabiashara sahizi wanaona uongozi haufai, na pia baada ya wao kukosa uCEO pamoja na kuact kwa muda mrefu wanaleta figisu na majungu. Yaani ni wahuni waliozoea kula kijinga sasa wamebanwa wanahema . Wengine wameamua kutengeneza parody account juzi jinga sana hawa . Wakajiandae upya uhuni wao unajulikana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mzee tatzo umepanick..hivi unadhani TAKUKURU wakipita wanafata hizi maneno zako za jazba na mihemuko?

Halafu unaweza ukahisi watu kumbe sio, hakuna mpigaji ambae anajua alipiga akatoa Siri za upigaji wakati anajua likimbumbulika nae anahusika...hapa Kuna mtu anajua madhambi yenu vizuri na alikosa room ya kuyasema na hapa ndio anayatema.

Kwa hiyo tulia, Relax Kama huna hoja nzito subiri TAKUKURU waje wafanye kazi yao hao watu unaowahisi na unasema walikuwa wapigaji nao watafuatwa hawana namna ya kuchomoka Kama ni kweli

Maana mpaka hapa kwa utetezi wewe ndio unaonekana mpiga porojo bila hoja za msingi, mwenzio anataja mpaka uhusika wewe unakazania kusema "NYIE" , Relax mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…