Graphic Content: Angalia kundi la Janjaweed wanachowafanyia wanawake Darfur, Sudan

Wewe umekuwa muwazi mkuu.
 
Moja kati ya jamii ambayo ni uncivilized na sio sababu ya dini Bali ndo wapo hivyo "navyosikia."
 
Alafu kuna waislam wajinga wa Tanzania, hutowaskia wakilaani ndugu zao kuuliwa daily, ila wanaona waarabu ndio wa maana. Takataka za kitanzania.
 
Mtumwa wa Waarabu, hata ujipemdekeze Vipi Kwa Waarabu wao wanaamini mtu mweusi amelaaniwa lielewe hili vizuri.
 
Ukristo pekeake ndio unaweza kuifanya dunia kuwa seheme salama,.kwaajili ya ileee amri kuu mpya ya Mapendo tuloachiwa na Bwana
 
Sauth africa kuna huo uhuni wa mud!?elimu magharibi imewasaidia wasauth kuukataa uhuni wa mud
Nimesema waafrika weusi wote wa bara la Africa hawana elimu bora kana mataifa ya kaskazini mwafrika. Hao wazuru wni wajinga kama wewe unaeamini ujinga.
Pambana utafute elimu mkuu, wakiristo wa bara la Africa hawajafika hata 1/4 ya uelewa/elimu ya WARABU au waislamu. Warabu ni kati ya Binadamu walio ishape dunia. Unaifahamu CAIRO university , Alexandria university unajua zilianza lini ?
Ungekuwa umesoma ungejua hisyoria ya elimu duniani ila wewe ni kilaza tu uliekaririshwa makaratasi.
Kama nyie wakristo mmesoma sana kwa nini mmeshindwa kuifanya Tanzania kuwa tajiri ?
Huo usomi upo kwenye nini ?
Kusaini hundi bandia na kuiibia serikali ?
Sudani ya Al bashir pamoja na vita zao hatujawahi kuizidi kiuchumi . Muwe na akili kama vyeti mlivyokusanya
 
Wakuu angalieni kundi la Kiisilamu la Janjaweed wanachowafanyia wanawake Darfur Sudan.

Haya makundi ya kiisilamu hua hayana huruma na wanawake wala watoto?
Soma apo kwenye video palindikwa:
"هذا في الحدود مابين نايجر ونايجيريا"
"Hii imetokea katika mpaka wa Nigier na Nigeria" wewe unasema Darfur.
 
Unaona sasa wewe mfuasi wa Mud ushapaniki,jipatieni elimu magharibi muache ushaitwani wenu wa kuua na kulazimisha dunia mzima iwe na wafuasi wa mud
 
Hapana sio sawa uislam sio ugaidi sema baadhi ya magaidi wanatumia uislam km kivuli kufanya uasi lakini pia viongozi wa dini husika wasikae kimya matukio km haya yanapotukia ndio maana watu km Hawa wanauhusianisha uislam na ugaidi.
Kwanini wasiutumie ukristo kama kivuli...?
 
Hiyo ni nijeria ila naona umetaja dini ghafla wala havina uhusiano na dini ,kama wote ni waislamu hata wakristo wanamalizana huko ukraine ....Dini imeingiaje sasa?

Hiy ni bendara ya sudan na ni vita ya kikabila huko Nigeria ...Kama ni ya kidini watawezaje kuwamaliza waislamu wenzao?

 
Uislam hauhusiani na tabia za watu, Uislam sio ugaidi.

Nimeumizwa na vitendo hivyo, zaidi kwa mama aliye na mtoto mgongoni!
Sio sawa, bila kujali chanzo maana sielewi yanayoongelewa.
 
Hiyo ni Nijeria wanapotosha hao ni waasi tena magaidi ila utashangaa mtu anaunganisha na waislamu.
Video imeandikwa kwa kiarabu:
"Hii ni katika mpaka wa Niger na Nigeria"
Alafu kuna mtu anakuja kuandika Darfur[emoji3][emoji3][emoji3]
Niger kuna makundi mangapi ya waasi ambao sio waislimu??
 
Uislam hauhusiani na tabia za watu, Uislam sio ugaidi.

Nimeumizwa na vitendo hivyo, zaidi kwa mama aliye na mtoto mgongoni!
Sio sawa, bila kujali chanzo maana sielewi yanayoongelewa.
Mtoa mada anadanganya hiyo ni Nijeria ni vita ya kikabila ,kule machafuko wao kwa wao
...Nyuzi ya kwanza ile ya xmass walisema wameuliwa wakristo tupu ila hao jamaa wameua mpaka waislamu ...

Hizo ni kombati za jamaa hata ukiangalia unaona kabisa ...Ni bendera ya Nijeria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…