Graphic Content: Angalia kundi la Janjaweed wanachowafanyia wanawake Darfur, Sudan

Isome Quran uielewe hakuna ugaidi kwenye uislam.magaidi ni wahuni kama makundi mengine tu
Kwa hiyo wewe unaijua Sana hiyo quran kuliko waarabu wanajitoa muhanga na kuua watu Kila siku kwa mwamvuli wa dini 🤔🤔
 
Kwa hiyo wewe unaijua Sana hiyo quran kuliko waarabu wanajitoa muhanga na kuua watu Kila siku kwa mwamvuli wa dini 🤔🤔
Mbona waarabu wenzao wa dini moja wanawaua Sasa hapo dini ipo wapi.
Gaidi hana dini
 
Mbona waarabu wenzao wa dini moja wanawaua Sasa hapo dini ipo wapi.
Gaidi hana dini
Hakuna namna utamuambia mtu kwamba kuna mpaka kati ya uislamu na agaidi na akakuelewa na wakati vikundi vyote vya magaidi ni vikundi vya kiislamu na wanatumia maneno kutoka kwenye hiyo hiyo quran wanapo tekeleza ugaidi wao, na mbaya zaidi ni waarabu wenye dini ya kiislamu wanao ongoza kufanya huo ugaidi ambao ndio wenye dini yao kabisa
 
Kuwa muarabu hakumaanishi ndio kuijua dini.
Makundi yote ya kigaidi ufanya yaliyo kinyume na dini.
Yanauza madawa,uharamia,kuuza viungo vya binadamu,magendo,wizi na uporaji ili kupata pesa za kuendesha makundi.
Hawa wapiganaji ni takataka wengi shule sifuri wapo brainwashed hawajui kitu Bali viongozi wa makundi ndio ujua lengo la kundi
 
Kama ni conclusion basi hii ndiyo yenyewe inastahili kuwepo juu ya mada hii.
 
Hiyo dini ingekuwa ni ya haki basi tungekuwa tukiona matamko yao kupinga juu ya unyama kama huu unaofanyika Kwa waafrika wenzetu.Hapo ni wanawake na watoto tena hawana hata silaha wanaume wazima na maushungi Yao wanafanya hayo kisa dini?.Dunia ingekuwa sehemu salama kama imaani za aina hii zingetokomezwa na kufutwa kwenye uso wa Dunia.Waarabu walaaniwe kwa kuleta na kupandikiza roho mbaya na chuki Kwa wanadamu hasa Waafrika.Mwafrika hampendi mwafrika mwenzake kisa chuki,na mwafrika anampenda mwarabu kisa ujinga kichwani huku mwarabu hampendi mwafrika akimuona ni
 
Sasa kama hawa wafuasi wa allah hawana huruma kwa hao wanawake
Je wakikushika wewe wa kuitwa kafiri si ni aya moja kutoka Satan verse wanatenganisha kichwa na kiwiliwili huku wakisema allah akbar

Machoni ni kama watu tena wenye utu lakini mioyo yao ni zaidi ya wanyama wa hatari
 
Kwa nini hakuandika injili yake? mahubiri yake wameandika watu wengine tena kwa kuunga unga. Kila mmoja alienda kuandika kwa utashi wake tofauti na quran ipo vile vile ilivyotolewa kwa sababu ilihifadhiwa kwenye ubongo wa binadamu.
Yesu angeandika mwenyewe biblua isingekuwa mashaka. Sijawahi ona andiko aliloandika Yesu, kama lipo liweke hapa.
 
🤣🤣Ngoja nipite kama sijaona...bible is perfect haya
 
Je Muhammad aliandika Quran?
 
Nakujibu Mimi. Kwanza nakupa mfano. Let's say tukio la bomu kulipuka limetokea eneo moja then mashuhda kadhaa wakakusanywa. Do you think watatoa maelezo yanayofanana? But what about key note au wazo kuu la tukio je watapishana? Yesu alikua na wanafunzi wake almost 12 na walioandika ni baadhi na kila mmoja aliandika alivyoshuhudia tukio. Kama una kifungu kinachopishana niandikie hapa tujadili. Na hii njia accurate yake ni 70% true. Lakini hio ya Mohamed kuambiwa miliman huko afu kuja kukaririsha watu lazima iwe na mashaka 90% hata kiswahili tu umesoma ubovu wa kuhifadh fasihi kwenye kichwa au ubongo. Mi ndomana nasemaga mudi na waarabu wenzake wajanja Sana. Na atabeba sana tu damu za watu wengi kutokana na mafundisho yake. Yesu alisema mtawatambua kwa matunda Yao. Yani nyie matunda yenu ni mauaji tu ya watu,uhasama,ubaguzi na chuki. Mna shida sana
 
Swali lako lilikuwa Yesu kuandika Injili au kujua kusoma na kuandika? Ulisema hajui kuandika.

Kila anayejua kusoma ameandika injili? Wewe umeandika injili?

Narudia tena. Yesu hakuwa kilaza, ngumbaru, illiterate, failure, bogus wala jinga.
 
Huyo Muhammad Asiyejua Kusoma Wala Kuandikwa Ndo Ametajwa Na Wasomi Wa Kikristo Kuwa Ni Mtu Wa Kwanza Mwenye Ushawishi Na Akili Duniani Nyuma Ya Yesu,issac Newton Na Gallileo Ww Mwenye Degree Ya Account Unamwita Muhammad Mjinga Seriously?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…