MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Kinachoendelea Darfur ni propaganda?Mama...
Kawaida huwa mijadala kama huwa sipendi kuchangia lakini kwa kuwa umenitaja nitatia neno la tahadhari kwako labda litakusaidia.
Uislam ni dini ya amani lakini kuna propaganda kubwa inaendeshwa dhidi ya Uislam.
Kwa mtu kama wewe ni rahisi kudanganyika.
Ushauri wangu kwako ni kwanza ujifunze Uislam uujue ndipo utakapoweza kujua ukweli.
Mama...Kinachoendelea Darfur ni propaganda?
Dini haihalalishi mauaji bali wanadini utumia dini kufanyia mauaji.Si madhehebu tofauti 🤣🤣🤣hivi unataka ubishe kwamba hamna mauaji kisa dini au
Kuna ushahidi wowote kuwa hao na janjaweed? Pili mbona huko mara kila siku wanawake wanakatwa masikio je nao ni janjaweed?Ndivyo Dunia ilivyo ,hao ndugu zenu katika Imaan ni shida sana wanapomkuta mtu ambae sio wa Imani Yao.
Ndio maana nasema mara zote ,tupambane kadiri inavyowezekana tusije ruhusu watu wapumbavu watuletee machafuko Kwa visingizio vya Demokrasia na ujinga kama huo.
Ubaya ni kua baadhi ya waislam wanafurahia hayo matendo.Hapana sio sawa uislam sio ugaidi sema baadhi ya magaidi wanatumia uislam km kivuli kufanya uasi lakini pia viongozi wa dini husika wasikae kimya matukio km haya yanapotukia ndio maana watu km Hawa wanauhusianisha uislam na ugaidi.
Alikuwa maamuma.Je Muhammad aliandika Quran?
Hutayaskia maislam ya Tanzania yakilaani haya! Ila kwa waarabu utaskia kelele. Majinga sana. Mohamad alikuwa mtu muongo, pedophile , muuaji, slave master , ndio maana imani yao haipendi questioning.Wakuu angalieni kundi la Kiisilamu la Janjaweed wanachowafanyia wanawake Darfur Sudan.
Haya makundi ya kiisilamu hua hayana huruma na wanawake wala watoto?
View: https://twitter.com/abasmas/status/1740720706110038506?s=19
Soma apo kwenye video palindikwa:
"هذا في الحدود مابين نايجر ونايجيريا"
"Hii imetokea katika mpaka wa Nigier na Nigeria" wewe unasema Darfur.
Hiyo ni nijeria ila naona umetaja dini ghafla wala havina uhusiano na dini ,kama wote ni waislamu hata wakristo wanamalizana huko ukraine ....Dini imeingiaje sasa?
Hiy ni bendara ya sudan na ni vita ya kikabila huko Nigeria ...Kama ni ya kidini watawezaje kuwamaliza waislamu wenzao?
View attachment 2857438
Ajue kusoma halafu aache injili takatifu ikaandikwe na watu wengine ?Swali lako lilikuwa Yesu kuandika Injili au kujua kusoma na kuandika? Ulisema hajui kuandika.
Kila anayejua kusoma ameandika injili? Wewe umeandika injili?
Narudia tena. Yesu hakuwa kilaza, ngumbaru, illiterate, failure, bogus wala jinga.
Kama alijua kusoma nini kilimfanya asiandike. Communication skill inaeleza kuwa taarifa ikitoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine haifiki kama ilivyo huwa inakolezwa au kupunguzwa. Nadhan huyo yesu akirudi atawashushua sana maana kila mmoja ameenda kueleza kwa lugha yake.Nakujibu Mimi. Kwanza nakupa mfano. Let's say tukio la bomu kulipuka limetokea eneo moja then mashuhda kadhaa wakakusanywa. Do you think watatoa maelezo yanayofanana? But what about key note au wazo kuu la tukio je watapishana? Yesu alikua na wanafunzi wake almost 12 na walioandika ni baadhi na kila mmoja aliandika alivyoshuhudia tukio. Kama una kifungu kinachopishana niandikie hapa tujadili. Na hii njia accurate yake ni 70% true. Lakini hio ya Mohamed kuambiwa miliman huko afu kuja kukaririsha watu lazima iwe na mashaka 90% hata kiswahili tu umesoma ubovu wa kuhifadh fasihi kwenye kichwa au ubongo. Mi ndomana nasemaga mudi na waarabu wenzake wajanja Sana. Na atabeba sana tu damu za watu wengi kutokana na mafundisho yake. Yesu alisema mtawatambua kwa matunda Yao. Yani nyie matunda yenu ni mauaji tu ya watu,uhasama,ubaguzi na chuki. Mna shida sana
Sijaiona "comment" yako nimeona umeniita, tatizo nini?Hujaelewa nini kwenye comment yangu? Huko shuleni ulienda kusomea ujinga?
Kuna kuna jambo moja zito sana ambalo Yesu alilisema zaidi ya miaka mia tano kabla hata uislamu mnaousema hapa haujazaliwa.Wakuu angalieni kundi la Kiisilamu la Janjaweed wanachowafanyia wanawake Darfur Sudan.
Haya makundi ya kiisilamu hua hayana huruma na wanawake wala watoto?
Tena usiombee wakakodishwa hao janjaweed kupelekwa israel. Unawaelewa lakini waanachikipigania huko kwao au hujatumia hata dakika mbili tatu kujifanyia kiutafiti kidogowa kwenye mtandao ukawasoma?Na hapo hakuna kokote duniani ambako Waislam wana andamana kulalamika jinsi Waislam wanavyofanyiwa na Waislam wenzao huko Darfur....sababu wanaoua ni Waislam na wanaouawa siyo Wapalestina
....angekuwa Myahudi kafanya hivyo ungeona maandamano na kushupaza shingo dunia
Hiyo picha inaonesha kama movie iliyofanywa kwa malengo fulani. Kama ni ya kweli, jiulize huyo mwanamke alifata nini maeneo ya Janjaweed?Wakuu angalieni kundi la Kiisilamu la Janjaweed wanachowafanyia wanawake Darfur Sudan.
Haya makundi ya kiisilamu hua hayana huruma na wanawake wala watoto?
View: https://twitter.com/abasmas/status/1740720706110038506?s=19
Niambie baba yake Joseph (au babu yake yesu upande wa baba) ni nani?😂😂😂Umenifuata Tena aiya njoo tupopoane. Mi nasema ni perfect. Nipe vifungu vyako ambavyo vinaonyesha sio tujadili
Quran imeandikwa na kuundwa baada ya kifo Cha Muhammad... Hadi kwenye Hadith ipo hiiAnadai alikua anaambiwa vifungu miliman huko alafu anavikariri na kwenda kuwaambia waumini wake😂😂
🤣🤣🤣Huu mfano mnaupenda kichizi asa ndio matukio yanaweza yasiwe 100% lakini sio mkanganyiko Sasa...Leo hii ajali imetokea eyewitness mmoja anasema gari ni la blue, mwingine anasema jeupe, mwingine anasema ilikuwa bajaji sio gari... mwingine haongelei ajali kabisa as if it didn't happen asa hapo Kuna Nini kama sio story tu... kingine huyo Mungu wenu kama kweli ndo Ali inspire bible angeweka in a way ambayo inaonekana imeandikwa vizuri na Mungu...the errors and inconsistencies show that imeandikwa na binadamu wasio na maarifaNakujibu Mimi. Kwanza nakupa mfano. Let's say tukio la bomu kulipuka limetokea eneo moja then mashuhda kadhaa wakakusanywa. Do you think watatoa maelezo yanayofanana? But what about key note au wazo kuu la tukio je watapishana? Yesu alikua na wanafunzi wake almost 12 na walioandika ni baadhi na kila mmoja aliandika alivyoshuhudia tukio. Kama una kifungu kinachopishana niandikie hapa tujadili. Na hii njia accurate yake ni 70% true. Lakini hio ya Mohamed kuambiwa miliman huko afu kuja kukaririsha watu lazima iwe na mashaka 90% hata kiswahili tu umesoma ubovu wa kuhifadh fasihi kwenye kichwa au ubongo. Mi ndomana nasemaga mudi na waarabu wenzake wajanja Sana. Na atabeba sana tu damu za watu wengi kutokana na mafundisho yake. Yesu alisema mtawatambua kwa matunda Yao. Yani nyie matunda yenu ni mauaji tu ya watu,uhasama,ubaguzi na chuki. Mna shida sana