Wakuu angalieni kundi la Kiisilamu la Janjaweed wanachowafanyia wanawake Darfur Sudan.
Haya makundi ya kiisilamu hua hayana huruma na wanawake wala watoto?
Kuna kuna jambo moja zito sana ambalo Yesu alilisema zaidi ya miaka mia tano kabla hata uislamu mnaousema hapa haujazaliwa.
- Dini ya kweli utaitambua kutokana na matunda yake - yaani dini na uongozi wake unatoa matunda ya namna katika wafuasi wake (Mathayo 7:16)
Sasa watu wengi mnapoona matunda mabovu ya dini zenu, mnapenda kusema sio watu wote, ni mtu mmoja mmoja. Lakini mnasahau huyo mtu mmoja ni tunda la dini hiyo, awe mkristo au muislamu. Sihitaji kuonja mapera ya mti mzima ili kujua mpera huu unatoa mapera yenye chumvi yasiyofaa kula au matamu yenye kufaa kula. Na hili si kwa waislamu pekee, bali wakatoliki, walutheri, wasabato nk. Je, matokea ya kuwa kufuata hizi dini yanatoa matunda gani kwa wafuasi wake? Watu wanaopendana? Watu wenye amani? Watu wenye kutii sheria na kufuata haki? Watu wauaji? Watu wanafiki wenye kuweka dini zao pembeni wakiwa kwenye vyama tofauti vya siasa?
Kumbuka kwamba kila mhalifu, muuaji, kibaka, mbakaji wanawake au watoto, mtukanaji, kiongozi na mwanasiasa fisadi, polisi muuaji na mbambikiaji kesi, tapeli, jambazi, hakimu mla rushwa nk, ana dini, na anachofanya ni kuonyesha matunda ya dini yake. Sasa suala la kujiuliza ni kwamba, hizi dini zinatoa matunda gani? Maneno ya Yesu, dini ya kweli utaitambua kwa matunda yake, hayapaswi kusahauliwa na mtu yeyote mwenye akili, bali wapu mbavu wa dunia hii.