Graphic designer wa Yanga amesifiwa sana lakini kumbe anakopi na kupest

Nadhani ingelikuwa yeye ndiye kajisifia basi kungelikuwa na utata...

Lakini yeye kasifiwa na watu wengine, na wala haikuwa ni post ya kupigiwa kura, au ya ushiriki wa mashindano ya graphics...

Ujumbe kwenye hiyo post ulikuwa ni kuonesha mtu aliyeshika funguo na funguo zenyewe...

Ukiacha hilo, weka picha nyingine za huyo designer tuone kama nazo 'kakopi'
 
Sasa nani haja Copy hapa duniani? Hata Tafiti zote lazima ureje Literature za Wenzio.

Kwahiyo Picha za funguo hadi hao akina Rick Ross pekee ndio wana jua kuning'iniza tu?

Kizuri toeni pongezi. Acheni wivu wa kike kwa vitu vya nyumbani
Ukirejea kazi ya mtu lazima uaknowledge source ya info zako ili usionekane mwizi hii ndiyo kanuni

Sasa huyu wa Yanga baada ya kucopy aliaknowledge source ili asionekane ni mwizi wa kazi za watu?
 
Sasa nani haja Copy hapa duniani? Hata Tafiti zote lazima ureje Literature za Wenzio.

Kwahiyo Picha za funguo hadi hao akina Rick Ross pekee ndio wana jua kuning'iniza tu?

Kizuri toeni pongezi. Acheni wivu wa kike kwa vitu vya nyumbani
Acha makasiriko amekopi clip nzima hakuna alichoongeza zaidi ya kanembo ka UTO tu
 
Sasa nani haja Copy hapa duniani? Hata Tafiti zote lazima ureje Literature za Wenzio.

Kwahiyo Picha za funguo hadi hao akina Rick Ross pekee ndio wana jua kuning'iniza tu?

Kizuri toeni pongezi. Acheni wivu wa kike kwa vitu vya nyumbani
Povu
 
Mnapenda ligi?
 
Ukisha copy unapoteza ile sifa ya creativity ambayo watu walikuwa wanakupa bila kujua kuwa ni plagiarism
Tanzania kwa sasa tuna tengeneza barakoa zetu. Tume copy kwa ELON MUSK au tuna tengeneza?
Hakuna Tafiti duniani isiyo na reference. Kwahiyo hiyo picha ya kuningg'iniza funguo ni ya kwanza hapa duniani au kisa ipo youtube kwa Dr Khaled[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…