Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Credit alizopewa kuhusiana na ubunifu lazima ziyeyuke kwasababu itakuwa imeshafahamika kuwa kilichoonwa kuwa ni kizuri kilikuwa kimefanywa na mtu mwingine kwa hiyo credit lazima ziende kwa huyo mtu sahihi aliye buni hicho kitu.Kujishushia credit for whom?, for who?,for which?
Pongezi zilikuwa zinatoka kwa kazi zake mujarabu Ila hata Siku moja Andersonmyshots hajawahi kutoka na kujisifia kwa ubora wa kazi sake
Kwahyo wakati anapewa sifa nyie roho zenu zilikuwa zinawauma kama zilivyo roho za waswahili,roho za kisokolokwinyo na ndio mmepata sehemu ya kujipoza na maumivu makubwa ambayo mnaendelea kupitia hapo ukoloni
Kazi zake zipi?
Ku copy nayo kazi?
Hakuna aliyekuwa anaumia graphic designer wenu kupewa sifa, kilichokuwa kinaboa ni ile kitu ya kupewa sifa kwa kuchafua graphic desiner mwingine
Angepewa sifa kuwa kafanya vizuri bila kuhusianisha na kazi zilizofanywa na designer mwingine kusingekuwa na habari kubwa
Sasa na sisi lazima tuoneshe wapi ambapo hao wanaotoa sifa hawapaoni, ndio tumeanza na hizo video ambazo ka copy