Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
😳😳😳Mkuu hebu nijuze, kumbe Elon Musk anatengeneza BARAKOA?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😳😳😳Mkuu hebu nijuze, kumbe Elon Musk anatengeneza BARAKOA?
Elon 'Mask' au sio!!!Tanzania kwa sasa tuna tengeneza barakoa zetu. Tume copy kwa ELON MUSK au tuna tengeneza?
Hakuna Tafiti duniani isiyo na reference. Kwahiyo hiyo picha ya kuningg'iniza funguo ni ya kwanza hapa duniani au kisa ipo youtube kwa Dr Khaled[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hana maana..Amekopi na kupest toka kwenye wimbo wa DJ Khaleed, yeye alichofanya aka-edit na kuweka nembo ya Yanga...haya View attachment 2289760Kazi kwenu utopolo...View attachment 2289758
Amekopi na kupest toka kwenye wimbo wa DJ Khaleed, yeye alichofanya aka-edit na kuweka nembo ya Yanga...haya Kazi kwenu utopolo...
Lkn pgm test imezidi mkuu 100%Sasa nani haja Copy hapa duniani? Hata Tafiti zote lazima ureje Literature za Wenzio.
Kwahiyo Picha za funguo hadi hao akina Rick Ross pekee ndio wana jua kuning'iniza tu?
Kizuri toeni pongezi. Acheni wivu wa kike kwa vitu vya nyumbani