Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,472
- 6,391
Level ya creativity duniani imetofautiana kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingineHiyo ni plagiarism pia ila kinachokuja kuleta mjadala ni pale ambapo mmoja anapewa sifa kuwa ni creative kuliko mwingine wakati ka copy idea ya mtu mwingine
Designer wa Yanga amejipambanua kwa Kazi zake nzuri nyingi kuliko designer Wa Simba ila ni kawaida kwa binadamu kuchukua Ubaya kidogo kuliko Mazuri mengi