Graphic designer wa Yanga amesifiwa sana lakini kumbe anakopi na kupest

Elon 'Mask' au sio!!!

Umeupiga mwingi bingwa 😁😁😁
 
Amekopi na kupest toka kwenye wimbo wa DJ Khaleed, yeye alichofanya aka-edit na kuweka nembo ya Yanga...haya View attachment 2289760Kazi kwenu utopolo...View attachment 2289758
Hana maana..
Humu utakuta jitu linakuponda linakupaka kua hakuna kipya chini ya jua!! Ndio, tena big yes ila kwa wasomi wanajuama maana ya ku acknowledge source yako ili tusikupe dhambi ya plagiarism amabayo itaharibu yoote mazuri ulotenda.
 
Hakuna kipya chini ya jua ...vyote vilikuwepo na vitaendelea kuwepo
 
Mnavyozidi kum hype ndio promotion therefore wamewin...

sio yule wa kwenu mikia fc mpaka apopolewe na mawe ndio ajirekebishe
 
Aziz ki mwenyewe kaongeza dau kwenye usajili anaweza akawashangaza mambumbu fc.
 
MMwambie na graphics designer wenu afanyee hvo,,kwani tumewashikaa mikono afu km mambo yetu yanakukeraa vungaa mzee unatafuta nn kwetu ndio nyie wambea Enzi za vita pambavu🀣🀣 #Mwananchi
 
Sasa nani haja Copy hapa duniani? Hata Tafiti zote lazima ureje Literature za Wenzio.

Kwahiyo Picha za funguo hadi hao akina Rick Ross pekee ndio wana jua kuning'iniza tu?

Kizuri toeni pongezi. Acheni wivu wa kike kwa vitu vya nyumbani
Lkn pgm test imezidi mkuu 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…