cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,799
- 2,237
Vipi kuhusu wenye taarifa sahihi na ushahidi unaoishi?wengi hawana taarifa muhimu juu ya wanakotaka kwenda, shame on you.
Marekani Ina uchumi mkubwa inaweza kuwalipa, uchumi wake unategemea kupora kutoka nchi nyingine kwa kutumia majeshi yake, NATO, WB, IMF, WTO. Unataka na sisi tuwe na majeshi ya kupora wengine pia kama wao?Kwa nini nchi za Kiafrika zisifanye hivyo! Tuna shida za wataalamu Tanzania, kwa nini tusiwe na Greencard! Unachekesha sana!
Hivi mkuu uingereza kuna fursa ya green card visa kama marekani?Binafsi siwezi kuondoka kabisa hapa Uingereza.
Hapana mkuu Green card lottery ni marekani tu.Hivi mkuu uingereza kuna fursa ya green card visa kama marekani?
MpuuzWakoloni walitusafirisha kwa majahazi kama watumwa kwenda kwao kuwafanyia kazi bure (manamba) kwenye mashamba, viwanda na majumbani kwao, history mbaya sana hii kukumbukwa, maana sio tu kwenda kuwafanyia kazi wazungu bure lakini wengi wao walikufa njiani wakati wakisafirishwa kwa kutoswa majini, msongamano mkubwa, njaa na ugonjwa njiani.
LEO hii sababu zilezile na manamba ndio hizihizi sa Green card lottery, Jamani hali hii ni mpaka lini? what are you looking for?
Hii ni kujitafutia balaa wewe mwenyewe na familia yako kwa matumaini feki kabisa huku ukijua kuwa utakwenda kule kufanyakazi kubwa na nyingi sana ili upate chochote kitu wakti nguvu, juhudi na akili hizo ungeweza kuziwekeza hapahapa nchini kwako na kupata mafanikio makubwa sana ya ajabu.
Si shauri uombe hiyo nyambafu
Wewe ndio misukule vigogo wa chama chakavu wanawapenda ili muendelee kuneemesha matumbo yao na vizazi vyao , endelea kuzaa vibarua wakuwatumikia aristocrats WA chama cha misukule TzWakoloni walitusafirisha kwa majahazi kama watumwa kwenda kwao kuwafanyia kazi bure (manamba) kwenye mashamba, viwanda na majumbani kwao, history mbaya sana hii kukumbukwa, maana sio tu kwenda kuwafanyia kazi wazungu bure lakini wengi wao walikufa njiani wakati wakisafirishwa kwa kutoswa majini, msongamano mkubwa, njaa na ugonjwa njiani.
LEO hii sababu zilezile na manamba ndio hizihizi sa Green card lottery, Jamani hali hii ni mpaka lini? what are you looking for?
Hii ni kujitafutia balaa wewe mwenyewe na familia yako kwa matumaini feki kabisa huku ukijua kuwa utakwenda kule kufanyakazi kubwa na nyingi sana ili upate chochote kitu wakti nguvu, juhudi na akili hizo ungeweza kuziwekeza hapahapa nchini kwako na kupata mafanikio makubwa sana ya ajabu.
Si shauri uombe hiyo nyambafu
We mpumbavu wa kazula mimba ignorance na stupidity vinakusumbua ,watu mamilioni wanatoka India ,China ,South Korea ,Singapore ,Japan na kila nchi unauoijua wewe wanaingia kila siku USA unadhani ni wapumbavu sio ? ,Hizo nchi zina uchumi wa kuwalisha nchi nzima ya Tz for 100 of years ,Wakoloni walitusafirisha kwa majahazi kama watumwa kwenda kwao kuwafanyia kazi bure (manamba) kwenye mashamba, viwanda na majumbani kwao, history mbaya sana hii kukumbukwa, maana sio tu kwenda kuwafanyia kazi wazungu bure lakini wengi wao walikufa njiani wakati wakisafirishwa kwa kutoswa majini, msongamano mkubwa, njaa na ugonjwa njiani.
LEO hii sababu zilezile na manamba ndio hizihizi sa Green card lottery, Jamani hali hii ni mpaka lini? what are you looking for?
Hii ni kujitafutia balaa wewe mwenyewe na familia yako kwa matumaini feki kabisa huku ukijua kuwa utakwenda kule kufanyakazi kubwa na nyingi sana ili upate chochote kitu wakti nguvu, juhudi na akili hizo ungeweza kuziwekeza hapahapa nchini kwako na kupata mafanikio makubwa sana ya ajabu.
Si shauri uombe hiyo nyambafu
Ndio maana nasema hunielewi, na unapeleka Mada kwingine kabisa! Mambo ya NATO na kuhamia mimi binafsi Marekani yananihusu nini? Hii sio topic yetu!Marekani Ina uchumi mkubwa inaweza kuwalipa, uchumi wake unategemea kupora kutoka nchi nyingine kwa kutumia majeshi yake, NATO, WB, IMF, WTO. Unataka na sisi tuwe na majeshi ya kupora wengine pia kama wao?
Kwani wewe unataka ku achieve nini kabla hujaondoka duniani? Maana watu wanapita lakini nchi na ardhi vinabaki. Mimi hapa muhimu' kwangu ni kuwa na familia (watoto na wajukuu) ambao nitawaachia pande la ardhi watakayoendelea kuishi wakati na wao wakiendelea kuishi. Nataka kuhakikisha kuwa watoto wanapata elimu ya kuwatosha na Mimi kupata namna ya kuishi hata baada ya kustaafu na kupoteza nguvu zangu. Je ili kuvipata vitu hivyo ni lazima nije huko uliko?
Don, jamaa ananishangaza sana, idadi ya wanaoingia Marekani toka Afrika ni ndogo sana ukilinganisha na mataifa mengine! Yeye hajui kabisa hilo! Amekaririshwa na kuwekwa kwenye relief, hawezi kufikiri vinginevyo.We mpumbavu wa kazula mimba ignorance na stupidity vinakusumbua ,watu mamilioni wanatoka India ,China ,South Korea ,Singapore ,Japan na kila nchi unauoijua wewe wanaingia kila siku USA unadhani ni wapumbavu sio ? ,Hizo nchi zina uchumi wa kuwalisha nchi nzima ya Tz for 100 of years ,
We hapo Tz unajiona dunia yote yako sio ?
Sasa nachokitaka maishani ni lazima nibaki Tanzania? Kuwa Marekani kunakataza kuwa na watoto na wajukuu!Marekani Ina uchumi mkubwa inaweza kuwalipa, uchumi wake unategemea kupora kutoka nchi nyingine kwa kutumia majeshi yake, NATO, WB, IMF, WTO. Unataka na sisi tuwe na majeshi ya kupora wengine pia kama wao?
Kwani wewe unataka ku achieve nini kabla hujaondoka duniani? Maana watu wanapita lakini nchi na ardhi vinabaki. Mimi hapa muhimu' kwangu ni kuwa na familia (watoto na wajukuu) ambao nitawaachia pande la ardhi watakayoendelea kuishi wakati na wao wakiendelea kuishi. Nataka kuhakikisha kuwa watoto wanapata elimu ya kuwatosha na Mimi kupata namna ya kuishi hata baada ya kustaafu na kupoteza nguvu zangu. Je ili kuvipata vitu hivyo ni lazima nije huko uliko?
Ulivyo fal@ hizo kuosha mbwa na kuhudumia wazee wewe ndio unaona ni kazi za kilofa , mpuuz mmoja kuna watu wametengeneza makampuni na kuajili malaki ya watu pale USA na wanaingiza millions of USD kama si billions of USD Kwa mwaka , zile ni sekta za kiuchumi kabisa ,usikae hapa na kuandika upuuzi kwa vitu usivyovijua ,we ni mseng€ ndio maana unaona ni kazi za kilofa ila ujue huwezi kupractoce hizo kazi kwa US mpaka upate license maalumu ya kupractice that's means unakuwa umepitia mafunzo maalumu na imefuzu ,pia unatambulika na serikali au regulating authorities .Kwenye akili yako wewe unadhani kule Marekani hakuna watu maskini, ombaomba, unadhani kuwa hakuna watoto wanaokaa chini darasani, hakuna wamachinga, hakuna malaya, hakuna wadokozi hakuna wanaume wanaoshikishwa ukuta wapate chochote, wanaodeki na kuosha mbwa. Akili na mawazo kama hayo ndiyo yanayowafanya watu wapande boti wafie kwenye maji na wewe umdharau huyo mama. Toka huko kaka, tembea uone.
Eti watoto wanaokaa chini , machingaKwenye akili yako wewe unadhani kule Marekani hakuna watu maskini, ombaomba, unadhani kuwa hakuna watoto wanaokaa chini darasani, hakuna wamachinga, hakuna malaya, hakuna wadokozi hakuna wanaume wanaoshikishwa ukuta wapate chochote, wanaodeki na kuosha mbwa. Akili na mawazo kama hayo ndiyo yanayowafanya watu wapande boti wafie kwenye maji na wewe umdharau huyo mama. Toka huko kaka, tembea uone.
Aisee eti kuoa ,kununua IST ,kujenga slum na kufuga kuku ishirini hayo ndio mafanikio ,Unachosema wewe ni sawa na house girl ambae anafanyakazi kwa boss wake kuanzia alfajiri na kulala saa 5 usiku baada ya kumalizia kumfungulia na kumlisha mbwa kutoka bandani kwa ujira wa TZS 60,000 kwa mwezi. Lakini msichana huyu alipokuwa kwao alikuwa anaamka saa 2 asubuhi, kuzurura, kuangalia TV na kwenda kulala saa 2 usiku.
Nguvu, juhudi na muda anaotumia kufanyakazi kwa boss kama angetumia nusu tu ya nguvu,juhudi na muda kufanyakazi akiwa nyumbani kwao hata kwa kuchoma vitumbua na maandazi na kuyauza angepata pesa nyingi zaidi hukohuko kwao kuliko hizi 60,000 za boss.
Fursa ziko hapahapa nyumbani Tz ni kuacha uvivu. Nilimkuta kijana mmoja Marekani anaona aibu kurudi Tz kwakuwa wenzake aliowaacha TZ walikuwa na maendeleo makubwa sana kuliko yeye. Wenzake wameoa, wana mashamba ya miti Iringa, wamejenga kule Goba, shamba kubwa la kuku, wana magari na ardhi kubwakubwa tu. Visa yake na passport vimekwisha lakini anashindwa kurudi kurudi kwa kuogopa kuwa atadakwa kwa makosa hayo pia.
Hebu waambieni ukweli vijana wenu.
Mjinga ana afadhali huyu ni taahiraHuu uzi umeandikwa na jitu jinga sana