Green card lottery ni Umanamba mamboleo

Green card lottery ni Umanamba mamboleo

Ushaambiwa kwa nyenzo za kukufanya ufanikiwe marekani ni rahisi zaidi tofauti na Africa kama kweli unataka kutusua na akili ya maisha unayo.

Africa tabu tubu sera mbovu, serikali zisizo na vipaumbele, wanasiasa njaa kujaza matumbo yao, uvunjifu wa katiba waziwazi, vyombo corrupt vya USALAMA , husda, wivu , vijino pembe vya watu weusi wenzetu, uchawi na ushirikina uliopitiliza kwenye mambo ya maendeleo, afya, biashara nakadhalika.

America the land of opportunities, the land of free and brave. GOD BLESS AMERICA.

Haters gonna hate[emoji1787]
Ajabu wanaoziharibu hizi nchi za afrika ni America na washirik wake wa ulaya.mkataa kwao mtumwa
 
Wewe ndio misukule vigogo wa chama chakavu wanawapenda ili muendelee kuneemesha matumbo yao na vizazi vyao , endelea kuzaa vibarua wakuwatumikia aristocrats WA chama cha misukule Tz
Kaka green cards ni manamba TU wanaopelekwa kufanya kazi kwa malipo kidogo, ni manamba kwa style mpya.
 
Hii nchi ina watu wajinga wajinga kama wewe wengi sana.

Punguza ujuaji.
Hakuna ujuaji ila nakemea style mpya ya manamba. Yaani pesa TU ndio uamue kuondoka ukahudumie wazungu na kukuza uchumi wao kwa malipo kidogo TU. Kaka kama umeajiliwa huko hebu jitahidi uione payroll ili uone tofauti ya malipo yako na mzungu wa huko kwa kazi ileile na masaa yaleyale na ujuzi uleule. Kama mnanyonywa sawa na mnamba vilevile kabisa.
 
Kaka green cards ni manamba TU wanaopelekwa kufanya kazi kwa malipo kidogo, ni manamba kwa style mpya.
Kavulata, uwezo wako wa kufikiri mdogo mno! Hivi ukiingia Marekani kuna mtu anakushika na kukutafutia kazi? Ni wewe na mipango yako! Ukienda shule sawa! Juzi katika groups za Watanzania kijana aliye kuja na Greencard amemaliza Information Techology degree yake, na kaanza Bank of America, kwako huyo ni manamba!
Iko kazi!
 
Aisee eti kuoa ,kununua IST ,kujenga slum na kufuga kuku ishirini hayo ndio mafanikio ,
Jomba una mtindio wa akili , trust me
Something is seriously wrong with your head
Kaka akili yako imebemendwa vibaya sana, yaani umanamba unaona ndio kila kitu. Vijana wetu wote waiache nchi Yao waje huko kuwa manamba?
 
Hakuna ujuaji ila nakemea style mpya ya manamba. Yaani pesa TU ndio uamue kuondoka ukahudumie wazungu na kukuza uchumi wao kwa malipo kidogo TU. Kaka kama umeajiliwa huko hebu jitahidi uione payroll ili uone tofauti ya malipo yako na mzungu wa huko kwa kazi ileile na masaa yaleyale na ujuzi uleule. Kama mnanyonywa sawa na mnamba vilevile kabisa.
Wewe ni kipofu wa vipofu! Unajua system ya malipo ya US! Kwa hiyo kuna system ya huyu mzawa na huyu mgeni! Hivyo ukiwa na Greencard malipo ni haya! Mbona unaanika ujinga wako mbele ya kadamnasi!
Inasikitisha sana!
 
Kavulata, uwezo wako wa kufikiri mdogo mno! Hivi ukiingia Marekani kuna mtu anakushika na kukutafutia kazi? Ni wewe na mipango yako! Ukienda shule sawa! Juzi katika groups za Watanzania kijana aliye kuja na Greencard amemaliza Information Techology degree yake, na kaanza Bank of America, kwako huyo ni manamba!
Iko kazi!
Mwambie achungulie salary slips za wazungu anaofanyakazi mao ofisi moja wenye elimu na ujuzi sawa kama wake. Atagundua kuwa yeye ni cheap labour (manamba). Hapo Marekani wanaonyonywa kazini ni wahamiaji, wakifuatiwa na wanawake.
 
Nakwambia wewe ni kipofu! Kazi professional una negotiate salary! Kabla sijaanza kazi mimi mwenyewe najua nataka nini! Na shirika/kampuni inaweza kukuomba uache kazi uliyo nayo kama una skills kubwa na kukuoa dau kubwa!
Nawafahamu wengi mno ndugu yangu!
Ukiwa na skills inayotafutwa wewe ndio unapanga mshahara wako!
Acha uzwazwa!..
 
Unatakiwa kuondoa aibu ndani ya nyumba yako, siyo kuhamia nyumba ya jirani........unapohamia jamii ya watu wengine unapoteza identity na unakuwa hauko huru na maisha yako.
Huyo aliyehamia US anaweza na uwezo mkubwa wa kuikomboa na kuiondolea aibu jamii yake kuliko wewe na uzalendo wako , watu wanasomesha wadogo zao vyuo vikuu na kujengea wazazi wao bila matatizo wewe unaona hawana maana, hiyo fees ya University of Dar es salaam kwa wengi US ni paycheck moja, nina uhakika pesa inayotumwa kutoka US na UK inachangia kiasi kikubwa sana kwenye GDP ya TZ, Kenya last year wametuma nyumbani 3 billion dollar, nina uhakika wabongo wanakaribia at least billion moja au zaidi zinazidi hata mapato ya dhahabu na uhakika
 
Mwambie achungulie salary slips za wazungu anaofanyakazi mao ofisi moja wenye elimu na ujuzi sawa kama wake. Atagundua kuwa yeye ni cheap labour (manamba). Hapo Marekani wanaonyonywa kazini ni wahamiaji, wakifuatiwa na wanawake.
Definitely hujawahi kuishi US
 
Huyo aliyehamia US anaweza na uwezo mkubwa wa kuikomboa na kuiondolea aibu jamii yake kuliko wewe na uzalendo wako , watu wanasomesha wadogo zao vyuo vikuu na kujengea wazazi wao bila matatizo wewe unaona hawana maana, hiyo fees ya University of Dar es salaam kwa wengi US ni paycheck moja, nina uhakika pesa inayotumwa kutoka US na UK inachangia kiasi kikubwa sana kwenye GDP ya TZ, Kenya last year wametuma nyumbani 3 billion dollar, nina uhakika wabongo wanakaribia at least billion moja au zaidi zinazidi hata mapato ya dhahabu na uhakika
Naogopa sana mawazo ya baadhi ya watanzania! Kimawazo ni duni mno! Inasikisha sana mkuu!
 
Naogopa sana mawazo ya baadhi ya watanzania! Kimawazo ni duni mno! Inasikisha sana mkuu!
Tuwaelimishe tuu wataelewa, Kenya wana encourage watu waende nje maana wanajua faida zake, labda waonyweshe number ya pesa zinazoingia kutoka diaspora inaweza kusaidia waelewe kwenda nje ni faida kwa nchi maskini kama Tanzania, nafikiri bado wana mawazo ya zile story za watu kuzamia na kuuza madawa
 
Tuwaelimishe tuu wataelewa, Kenya wana encourage watu waende nje maana wanajua faida zake, labda waonyweshe number ya pesa zinazoingia kutoka diaspora inaweza kusaidia kwenda nje ni faida kwa nchi maskini kama Tanzania
Mkuu tuna safari ndefu! Katika karne hii bado kuna upofu mkubwa namna hii wa kufikiri! Hebu niambie jamaa kama huyu awe wizarani na anatengeneza curriculum ya taifa!
 
Mkuu tuna safari ndefu! Katika karne hii bado kuna upofu mkubwa namna hii wa kufikiri! Hebu niambie jamaa kama huyu awe wizarani na anatengeneza curriculum ya taifa!
Imagine huyu Bwana Kavulata baada ya kuwa mwalimu, kaenda wizarani kutengeneza curriculum na baadaye akawa Mhe Mbunge! Atakuwa ameliharibu taifa kwa kiasi gani!
Unasikia angalia China, angalia China! Bila kujua China ili invest more kwa vijana wao kuja kusoma US,Walitumia kila mbinu, leo anaweza hata kujaribu tunisha misuli yake na US
Sasa watu kama kina Kavulata akiwa wizarani si atakata kabisa Scholarships za watanzania kusoma nje kwa mitazamo hiyo potofu!
Dunia ya leo kama taifa encourage watu wako wanaotaka kutoka watoke, wafanyie wepesi wa kuwawezesha ku invest katika fans mbali mbali nyumbani.
Serikali haina uwezo wa ku absorb vijana wanaotoka vyuoni, na bado una discourage wasiondoke nchini, bila kujua kwa kufanya hivyo unatengeneza unnecessary pressure katika society!
Unabakia kutoka nje ni utumwa! Kutoka nje ni manamba! Tengenezeni basi ajira na business opportunities vijana wasifikiri nje ya Tanzania.
Tuna kazi mkuu
 
bora ukawe manamba kwa wageni kulko kuwa manamba kwenu , umeme una katwa ovyo maji hakuna , unajifariji utafanikiwa ? labda ufanikiwe kuwazdi maskini wenzako tu.
 
Huyo aliyehamia US anaweza na uwezo mkubwa wa kuikomboa na kuiondolea aibu jamii yake kuliko wewe na uzalendo wako , watu wanasomesha wadogo zao vyuo vikuu na kujengea wazazi wao bila matatizo wewe unaona hawana maana, hiyo fees ya University of Dar es salaam kwa wengi US ni paycheck moja, nina uhakika pesa inayotumwa kutoka US na UK inachangia kiasi kikubwa sana kwenye GDP ya TZ, Kenya last year wametuma nyumbani 3 billion dollar, nina uhakika wabongo wanakaribia at least billion moja au zaidi zinazidi hata mapato ya dhahabu na uhakika
Mkuu usidanganyike na takwimu, wengi wanapigika hawawezi kutuma hata mia mbovu, wanaishia kutumikia mfumo na kuambulia pesa ya kulipia pango na bill mbalimbali. Mimi nimekaa moja ya nchi ya ulaya wakati nasoma, hata wazungu wenyewe wanapigika na wanaomba mitaani sembuse wewe wa kuja. Kwa hiyo usiwaaminishe kwamba huko mambo ni mteremko, wasiamini sana wanachokiona kwenye picha na TV, uhalisia unaweza kuwa tofauti na matarajio yao.​
 
Kaka green cards ni manamba TU wanaopelekwa kufanya kazi kwa malipo kidogo, ni manamba kwa style mpya.
Hili jambo wengi hawawezi kulijua, wazungu wanapotoa nafasi kama hizo kwa wahamiaji na hata scholarships wanalenga kupata pia cheap labour, yaani wanakuwa wanahisi kuna uhaba wa watu wa kufanya casual works......ila sisi kwa umaskini wetu tunaona ni bonge la fursa sawa na kuokota dodo chini ya mwarobaini.​
 
Nyumisi: Nilidhani umeelimika!bado thinking yako iko twisted, unaposema cheap labour sijui una maana ipi! Hivyo mtu aliyekuja soma US, sio kutoka Tanzania tu au nchi yoyote kama professional,yeye analipwa kidogo sawasawa na mzawa!
Nauliza unajua unachokisema? Nilimtembelea recently Mtanzania ambaye alikuwa BOT akaja kusoma huku, baada ya kuwa na experience amewekwa kuwa mkuu wa kitengo fulani katika IT company, mshahara alioutaka yeye baada ya kuangalia wenzake wanalipwa nini IBM,dau alilotaka walimpa,siwezi kuweka hapa maana hatuaamini!
Sasa narudi kwenye mfano binafsi, my son ni IT person, alipokuwa semester ya mwisho yeye na wenzake wawili walikuwa approached na Institution fulani, waliopoajiriwa, yeye Mtanzania, mmoja kutoka Nepal na kijana mzungu wa hapa wote walianza na scale moja! Maana shirika liliwaonyesha entry level package.
Sasa sijui habari hizi mnaokoteza wapi?
Anyway, let say nikubali argument yako, nimetoka Tanzania nakuja kusoma US, mshahara wangu Tanzania ni $ 1500/ Baada ya ku graduate, shirika la US likaona nafaa, na kunilipa mara tano ya Tanzania, na position hiyo hiyo yuko mzawa analipwa more than me, kwa hiyo unashauri nirudi nyumbani kuchukua $1500/ yangu sababu ya uzalendo! Uzalendo upi hasa!
Hivi huo uzalendo mnaouzungumza hapa mbona hatuuoni ukifanya kazi na kubadili nchi?
Mnaishia kulalamika juu ya tozo, ukosefu wa maji, umeme, mbona huo uzalendo uliowakimbiza ulaya umeshindwa kubadili nchi!
Hebu acheni porojo!
 
Mkuu usidanganyike na takwimu, wengi wanapigika hawawezi kutuma hata mia mbovu, wanaishia kutumikia mfumo na kuambulia pesa ya kulipia pango na bill mbalimbali. Mimi nimekaa moja ya nchi ya ulaya wakati nasoma, hata wazungu wenyewe wanapigika na wanaomba mitaani sembuse wewe wa kuja. Kwa hiyo usiwaaminishe kwamba huko mambo ni mteremko, wasiamini sana wanachokiona kwenye picha na TV, uhalisia unaweza kuwa tofauti na matarajio yao.​
Nilitegemea mtu kama wewe hata kama hukubali kukaa nje ukaandika kitu sensible, una data za remittances zinazotumwa na watanzania waliko nje? Tafuta hotuba ya Mhe Rais alipokuja US, au data toka hazina.
Usizungumze kama layman! Sasa kweli wasomi Kawa wewe tutegemee wataitoa nchi kweli?
Nadhani unachotafuta ni V8 tu! Mitazamo kama itafanya nchi ibakie kwenye vicious circle of poverty!
 
Back
Top Bottom