Mahitaji
1)Nusu kilo ya maini ya kuku
2)Pilipili manga 1 tablespoon
3)1/2 tablespoon ya pilipili ya unga
4)Limau
5)Tandoori masala 1/2 teaspoon
6)Tangawizi 1/2 tablespoon
7)Kitunguu saumu 1/2 tablespoon
8)Bizari ya pilau iliotagwa (ground cumin) 1 tablespoon...
Namna ya kutayarisha
1)Safisha maini yako vizuri na weka pembeni yajichuje maji..
2)Changanya viungo vyote hapo juu, wacha maini yakolee viungo for 2 hours
3)Weka maini katika vijiti maalum vya mishkaki
4)Choma mishkaki katika jiko maalum la mkaa ama kwenye grill
5)Geuza geuza mishkaki huku ukipakaa mafuta juu yake hadi kuwiva vizuri...
Kamulia limau kidogo juu ya mishkaki yako na weka kwenye sahani na katia katia juu yake nyanya na kitunguu maji au salad upendayo
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums