Grilled chicken liver (mishkaki ya maini ya kuku)

farkhina

Platinum Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
14,568
Reaction score
16,917
Mahitaji

1)Nusu kilo ya maini ya kuku

2)Pilipili manga 1 tablespoon

3)1/2 tablespoon ya pilipili ya unga

4)Limau

5)Tandoori masala 1/2 teaspoon

6)Tangawizi 1/2 tablespoon

7)Kitunguu saumu 1/2 tablespoon

8)Bizari ya pilau iliotagwa (ground cumin) 1 tablespoon...

Namna ya kutayarisha

1)Safisha maini yako vizuri na weka pembeni yajichuje maji..

2)Changanya viungo vyote hapo juu, wacha maini yakolee viungo for 2 hours

3)Weka maini katika vijiti maalum vya mishkaki

4)Choma mishkaki katika jiko maalum la mkaa ama kwenye grill

5)Geuza geuza mishkaki huku ukipakaa mafuta juu yake hadi kuwiva vizuri...

Kamulia limau kidogo juu ya mishkaki yako na weka kwenye sahani na katia katia juu yake nyanya na kitunguu maji au salad upendayo

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Attachments

  • 1389525424459.jpg
    1389525424459.jpg
    52.4 KB · Views: 614
  • 1389525435631.jpg
    1389525435631.jpg
    39.8 KB · Views: 532
Last edited by a moderator:
Mahitahi

1)Nusu kilo ya maini ya kuku
2)Pilipili manga 1 tablespoon
3)1/2 tablespoon ya pilipili ya unga
4)Limau
5)Tandoori masala 1/2 teaspoon
6)Tangawizi 1/2 tablespoon
7)Kitunguu saumu 1/2 tablespoon.
8)Bizari ya pilau iliotagwa (ground cumin) 1 tablespoon...

Namna ya kutaarisha

1)Safisha maini yako vizuri na weka pembeni yajichuje maji..

2)Changanya viungo vyote hapo juu...wacha maini yakolee viungo for 2 hours

3)Weka maini katika vijiti maalum vya mishkaki

4)Choma mishkaki katika jiko maalum la mkaa ama kwenye grill

5)Geuza geuza mishkaki huku ukipakaa mafuta juu yake hadi kuwiva vizuri...

Kamulia limau kdg juu ya mishkaki yako na weka kwenye sahani na katia katia juu yake nyanya na kitunguu maji au salad upendayo...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

samahani..nikitumia miguu ya kuku inawezekana?kwani huku kwetu ndo inapatikana kwa wingi.
 
Hapo uwe na peri peri sauce kama hii kwa pembeni....
Dimild.jpg

Halafu unashushia na Welch's Raspberry Limeade Sparkling Cocktail kama hii tena iwe bariiidi.....

sparkling_raspberrylimeade_210x356.png

Ukimaliza kula, kama upo nyumbani lazima usinzie.
 
Nyani Ngabu hapo peri peri mwisho wa matatizo....mie hupenda kutumia frank's redhot ya chili n lime
 
Attachments

  • 1389528875544.jpg
    1389528875544.jpg
    50.9 KB · Views: 366
Last edited by a moderator:
Duu mate yatutoka kwa hiyo mushakiki. Mbaya wakutupikia hawapo na Sie wengine kupika ni zero
 
Hahahhahaha pole sana...kula kwa macho tu lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hapo uwe na peri peri sauce kama hii kwa pembeni....
Dimild.jpg

Halafu unashushia na Welch's Raspberry Limeade Sparkling Cocktail kama hii tena iwe bariiidi.....

sparkling_raspberrylimeade_210x356.png

Ukimaliza kula, kama upo nyumbani lazima usinzie.

On the recliner?? Hahaaa. Thanksgiving.
 
Oh yeah...on my leather swivel glider recliner like this one below and flipping through the 300-plus channels on my Comcast Xfinity TV.
3757-9CS.JPG
Send some channels my way. NBA and cartoons. Btw, any room for me so we doze off?
 
Mahitahi

1)Nusu kilo ya maini ya kuku
2)Pilipili manga 1 tablespoon
3)1/2 tablespoon ya pilipili ya unga
4)Limau
5)Tandoori masala 1/2 teaspoon
6)Tangawizi 1/2 tablespoon
7)Kitunguu saumu 1/2 tablespoon.
8)Bizari ya pilau iliotagwa (ground cumin) 1 tablespoon...

Namna ya kutaarisha

1)Safisha maini yako vizuri na weka pembeni yajichuje maji..

2)Changanya viungo vyote hapo juu...wacha maini yakolee viungo for 2 hours

3)Weka maini katika vijiti maalum vya mishkaki

4)Choma mishkaki katika jiko maalum la mkaa ama kwenye grill

5)Geuza geuza mishkaki huku ukipakaa mafuta juu yake hadi kuwiva vizuri...

Kamulia limau kdg juu ya mishkaki yako na weka kwenye sahani na katia katia juu yake nyanya na kitunguu maji au salad upendayo...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Maini ya kuku hayaliwi bali hutupwa
 
Sherrif alpaio labda kwenu,uku ata pua ya kitmoto haitupwi!!:hand:
 
Last edited by a moderator:
Mahitahi

1)Nusu kilo ya maini ya kuku
2)Pilipili manga 1 tablespoon
3)1/2 tablespoon ya pilipili ya unga
4)Limau
5)Tandoori masala 1/2 teaspoon
6)Tangawizi 1/2 tablespoon
7)Kitunguu saumu 1/2 tablespoon.
8)Bizari ya pilau iliotagwa (ground cumin) 1 tablespoon...

Namna ya kutaarisha

1)Safisha maini yako vizuri na weka pembeni yajichuje maji..

2)Changanya viungo vyote hapo juu...wacha maini yakolee viungo for 2 hours

3)Weka maini katika vijiti maalum vya mishkaki

4)Choma mishkaki katika jiko maalum la mkaa ama kwenye grill

5)Geuza geuza mishkaki huku ukipakaa mafuta juu yake hadi kuwiva vizuri...

Kamulia limau kdg juu ya mishkaki yako na weka kwenye sahani na katia katia juu yake nyanya na kitunguu maji au salad upendayo...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Hiyo ni nini my dia?

Hii kitu itakuwa tamu balaa na hivi maini ni malaini...yaani full kumumunya
 
Ni masala flani yamechanganishwa spice tofauti but kama hupendi smell ya spice za kihindi usitumie ila ni nzuri sana.....
 
Attachments

  • 1389603493265.jpg
    1389603493265.jpg
    96.2 KB · Views: 250
Back
Top Bottom