Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ford ni ya USAHivi Ford Ranger nazo ni za wa Japan, R. I. P Full Doze
South africa ni Plant tu ila origin ni USAUsikariri, Ford hiyo ni ya South Afrika
Pole mkuu.... Mm tangu siku hiyo nauheshimu sn usingizi...... Nilikua najiuliza sn kwa nn malory mengi yanaanguka sehemu ambayo wala sio hatarishi kuna jamaa akasema sehemu hatarishi jamaa wanakua makini sn lkn ikifika mahali pazuri wanarelax hadi usingizi unawapata wanajikuta wapepeleka gari mitaroni nk....Na kulala si mpaka uwepo eneo rafiki.
Nimewahi kukutana na hiyo situation na ilikuwa mchana maana nilidamka saa 9 alfajiri by saa kumi nikang'oa.
Mida ya nane hivi mchana kumbe kausingizi kalinyemelea...ghafla nilikurupuka nikahisi nimeshakula mzinga, kutoka hapo mikono na miguu ilipoteza nguvu, roho inadunda....nikaanza kuutafuta mji, maana ni highway na ni pori sidhani kama ingekuwa busara kupaki popote na kulala....nikafika kwenye Mji nikaingia Motel moja, nikavunga kama nimefata msosi nikarudi garini nikaupiga kama saa nzima hivi.
Hiyo
Sio gari ya Japan, however hiyo gari Ina speed sana na comfortability ya kutosha , unaweza kujikuta upo 220 bila kutarajia endapo unaenda safari ndefu maana linateleza tu na husikii engine ikilalamika.
Sasa ukiwa kwenye speed zaidi ya 140 kiukweli ni ngumu sana kuokoka kwenye ajali, na hiyo hapo lazima alikuwa zaidi ya 160 hapo hata kama unaendeshwa Bentley utaipata tu.
Akina Ginimbi wamekufa kwenye Bentley itakuwa hii gari ya 120 million?
Historia ya utajiri wake tu ndio inaniachaga hoi.
Nina shida ya hela, ila ujasiri wake - zaidi ya ule wa Ntarahamwe - siuwezi.
😀😀😀😀😀Funguka mkuu
Dunia ya sasa imejaa watu wavuvu sana hata simple research in case haijui jambo. Yani Kuna majamaa wanakuambia hiyo Ford Ranger ya UK, mwingine anasema ya Marekani as if Ranger ya Marekani inafanana na hizi makaratasi, mwingine anasema Japan 😃😃😃😃 full ujuaji ingali hawajataka hata kujisumbua kidogo japo kutafuta facts kwenye Google yao iliyowarahisishia mambo.
Kizazi hiki aisee. Anyway RIP mjasiriamali, naonea huruma waliobaki, familia, ndugu, majirani, marafiki, wafanyakazi and business partners.
...Duh, kweli hapo hatoki mtu! RIP mjasiriamali.Ni Mjasiriamali maafuru Mlowo Mbozi mkoani Songwe ambaye pamoja na mambo mengine alikua anamiliki kiwanda cha kukoboa kahawa ktk mji wa Mlowo kafariki kwa ajali usiku wa kuamkia leo Morogoro.
Alikua pia maarufu kwa jina la FULL DOZE na GDM
Bwana ametoa bwana ametwaa. Jina lake libarikiwe
View attachment 1851508
View attachment 1851509
Mmmh una shida sehemuComfort ya kutosha, siyo comfortability ya kutosha. Hakuna neno comfortability mahali popote duniani kwenye kiingereza. Tafuta katika dictionary yoyote au google, hutapata neno hilo!
UchovuKwa taarifa yako alikua sio mtu wa kilevi kabisa..... Yeye ni kazikazi aisee
Mhhm!!!Sisi wachunguzi wa kujitegemea tuna mahali pa kuanzia. Kwenye kioo (wind screen kuna tobo kama dalili ya risasi. Naomba wachunguzi waanzie hapo
Kwa hiyo ukisema hayo ndiyo hutakufa wala kupata ajali si ndiyo?Ndiyo maana tunasema kila uamkapo anza na MUNGU, na ulalapo mwambie MUNGU, kesho yetu itabaki kua fumbo.