TANZIA Grivas Mwangoka afariki dunia kwa ajali ya Gari

TANZIA Grivas Mwangoka afariki dunia kwa ajali ya Gari

May be... Lkn yy kagongana na bus inawezekana pia bus ndo lilikua speed zqodi
Tanzania uendeshaji ni mbovu sana. Inawezekana hata ni basi lilimfuata kwenye site yake. Nilikuwa nasafiri siku moja na gari ndogo na basi lililokuwa linakuja upande wa pili lika-overtake bila kujali kuwa sisi tulikuwa tunakuja na kungevaana uso kwa uso. Kilichotusaidia ni kuwa tulikuwa kwenye speed ndogo hivyo tukasimama.
 
Ford Ranger zinawachomoa watu kwelikweli. Hizi mashine sijawahi kuendesha najiuliza ni Ile speed yake au zinakosa balance zikiwa kwa speed fulani?
Ajali tu, lakini Ford Ranger ni gari nzuri na ikiwa speed inatulia barabarani.
 
rip uzoefu barabarani mbona gari zuri imara nk ....
 
Mara Ford ranger gar ya mjapani, mwingine, Mgerman, Mara Us mwingine South, Mara Uk Sasa alieko sahihi ni nani?
 
Ford Ranger imeanza kutengenezwa Marekani hata hivyo hizi pick up models zilianza mwaka 1983 however Ford ni franchise ipo worldwide so wametoa leseni kwa makampuni kadhaa kutengeneza models fulani ambazo wao Ford America hawatengenezi.

Mfano, hii Ford Ranger ambayo inaonekana kwenye picha ya ajali, hii sio Ford ya Marekani, hii ni South Africa model, SA Wana kiwanda pia ambacho wanatengeneza Ranger za model fulani.

Hapo nyuma walikuja na Ranger fulani lakini hazikuweza kupenya sana kwenye soko kidogo watu wa TISS ndio walikuwa nazo hadi kuna wakati zilikuwaga hata kwenye msafara wa Mzee Mwinyi.

So kwa hii iliyopata ajali ni model ya South Africa.
Mara Ford ranger gar ya mjapani, mwingine, Mgerman, Mara Us mwingine South, Mara Uk Sasa alieko sahihi ni nani?
 
R. I. P kiongozi, Safari Ni moja tofauti Ni muda na namna ya kufika huko.
 
Seems ni uchovu na mwendo mkali. Yaani kama umechoka aiseee park lala kwa muda then amsha mashine kama kawaida. Usingizi una mambo ya kipuuzi sana yaani unadhani uko ON kumbe brain ilishafunga mawasiliano muda mrefu sana. Hadi kuichakaza hio gari hivyo hio speed haikua ya dunia hii
Sio maindi yaliyoliwa yamefikia mwisho
 
Haya magari ya Japan likipata dhoruba inakua kama a smashed coke cola can. Poleni wafiwa.
Wanasema same model ya dunia ya kwanza, kuikunja kunja hivyo kwa ajali, ujue hakuna kitakachosalia eneo hilo, hapo unaweza kuta alikuwa na 60kph tu.

Dunia ya tatu ni kama tunaishi porini/msituni/mbugani, ustawi wetu unategemea kudra za majangili na wawindaji halali.
 
Back
Top Bottom