TANZIA Grivas Mwangoka afariki dunia kwa ajali ya Gari

Ford ranger ni Ford America, hizo Ford ranger ni franchise ya Ford uko South Africa. Quality yake siyo sawa na Ford ranger ya USA
Hakuna tofauti kubwa sana zaidi ya kwamba Ford Ranger ya Us inatumia petrol na ni LHD, Southb Afrika ama UK ni za diesel
 
hizi gari ndio shida yake.. ziko very comfortable..na uombe isiwe automatic na uwe mtu wa masafa na kazi nyingi aka mjasiriamali..hii gari ikutulia barabarani na kale ka ac na ile virangi rangi kwenye dashboard + uchovu basi lazima ulale na ukishtuka unajikuta umedrive past 1 minute usingizini.. bahati mbaya huja ukishtuka alaf umeshtushwa na honi au taa ya lori kubwa..unachanganyikiwa ukijua uko wrong side hapo ndipo unafanya foolish mistake.. #speaking from a long distance driving experience with a latest comfortable car

kingine lazima tujifunze sio kwamba ukipata leseni kwamba tayar wewe ni proffesional driver. kuendesha gari ndani ya mkoa vs safari za masafa ni vitu viwilo tofauti
 
Babes najua umeifananisha na ile Hilux yetu ya kubebea lishe ya kitimoto... hiyo sio mjapani mama... hebu njoo chumbani huku nukueleweshe vizuri....
Htr sn hii
 
hizi gari ndio shida yake.. ziko very comfortable..na uombe isiwe automatic na uwe mtu wa masafa na kazi nyingi aka mjasiriamali..hii gari ikutulia barabarani na kale ka ac na ile virangi rangi kwenye dashboard + uchovu basi lazima ulale na ukishtuka unajikuta umedrive past 1 minute usingizini.. bahati mbaya huja ukishtuka alaf umeshtushwa na honi au taa ya lori kubwa..unachanganyikiwa ukijua uko wrong side hapo ndipo unafanya foolish mistake.. #speaking from a long distance driving experience with a latest comfortable car

kingine lazima tujifunze sio kwamba ukipata leseni kwamba tayar wewe ni proffesional driver. kuendesha gari ndani ya mkoa vs safari za masafa ni vitu viwilo tofauti
Kwa kifupi tuseme gari ziko VERY ROMANTIC sio...
 
Kwa taarifa yako alikua sio mtu wa kilevi kabisa..... Yeye ni kazikazi aisee
Uendeshaji ulikuwa wa namna gani? Unaweza usilewe lakini mwenda ukawa mkali. Tatizo la mwendo mkali ni kuwa ukipata ajali kwa uzembe wako au bahati mbaya au kwa uzembe wa mtu mwingine, madhara yake ynakuwa makubwa sana. Ndiyo maana tunashauriwa siku zote tuendeshe mwendo wa wastani. Poleni wafiwa.
 
Back
Top Bottom