TANZIA Grivas Mwangoka afariki dunia kwa ajali ya Gari

TANZIA Grivas Mwangoka afariki dunia kwa ajali ya Gari

U
Dunia ya sasa imejaa watu wavuvu sana hata simple research in case haijui jambo. Yani Kuna majamaa wanakuambia hiyo Ford Ranger ya UK, mwingine anasema ya Marekani as if Ranger ya Marekani inafanana na hizi makaratasi, mwingine anasema Japan 😃😃😃😃 full ujuaji ingali hawajataka hata kujisumbua kidogo japo kutafuta facts kwenye Google yao iliyowarahisishia mambo.

Kizazi hiki aisee. Anyway RIP mjasiriamali, naonea huruma waliobaki, familia, ndugu, majirani, marafiki, wafanyakazi and business partners.
Umenena vema sn mkuu
 
Ana undugu wowote na marehemu mzee Enos Mwangoka wa Majengo Mbeya (mmoja wa anzilishi wa TANU kwa Mbeya)?
Sina hakika na hili mkuu ila MWANGOKA ni ukoo mkubwa sn.....
 
Mwingine huyu hapo hapo morogoro siku 6 zilizopita, discovery ikaharibika kwelikweli, tuwapo barabarani tujitahidi kuudhibiti mwendo kasi.

3D2F4A1B-005A-4D28-979D-E143490ED5DC.jpeg
FE10BA1A-1F8A-428B-A25F-9987D28CB4FD.jpeg
60C9E271-30AF-479B-8F4C-F82FCCAA2A72.jpeg
 
Ford hio madame boss ingekua mjapenga hapo ingebaki chassis tu maana hio speed inaonekana hakua ya kipimbi
Kukariri ni Jambo la hatari sana.

Ikawaje ANCP ikazirate Ford Ranger na Mjapan(Hilux) zote kwa 5 stars kwny safety ratings?
 
Sasa huyu ndo nani
Ndio Isaack mdau mmoja kamzungumzia hapo, jamaa alikua mafinga anafanya biashara ya mbao mafinga akaacha akawa anasambaza vyakula mashuleni ni mzaliwa wa arusha
 
Back
Top Bottom