TANZIA Grivas Mwangoka afariki dunia kwa ajali ya Gari

Kuendesha gari usiku si salama sana. Endesha tu kama hakuna jinsi na kama unasinzia egesha mahali na pumzika. Na ukiendesha usiku speed isiwe zaidi ya 80km/kwa saa na pia hakikisha taa zako ziko vizuri. Nilikuwa nnaendesha gari usiku nikakuta watu wenye gari ndogo wameingia uvunguni mwa basi iliyoharibikia barabarni na wote wakafa. Hawa watu wangekuwa salama kama kungelikuwa mchana au speed waliyokuwa nayo ingekuwa ya wastani.
 
Poleni ndugu , jamaa na marafiki.

Ford Ranger imekuwa kama chapati .....Speed itakuwa > 150km/hr.
 
Kuendesha gari usiku si salama sana. Endesha tu kama hakuna jinsi na kama unasinzia egesha mahali na pumzika. Na ukiendesha usiku speed isiwe zaidi ya 80km/kwa saa na pia hakikisha taa zako ziko vizuri. Nilikuwa nnaendesha gari usiku nikakuta watu wenye gari ndogo wameingia uvunguni mwa basi iliyoharibikia barabarni na wote wakafa. Hawa watu wangekuwa salama kama kungelikuwa mchana au speed waliyokuwa nayo ingekuwa ya wastani.
Usiku ni hatari sana
 
Hii ni kweli kabisa..... Kuna siku nilikua naendesha gari usiku wa manane kumbe nimesinzia nikajikuta niko upande wa pili wa barabara niliogopa sn nikapaki gari nikalala (HIKI NI KISA CHANGU CHA KWELI KABISA=
Hata mimi ilishawahi nitokea hii. Mimi nilijikuta nishatoka nje ya barabara nakata pori, kelele za mtoto ndo zilizoniamsha.
 
Back
Top Bottom