Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Hahahahhaa Mimi namshukuru MUNGU nimeshasaidia kuepusha ajali karibia nne au tano na ya mwisho ilikua mwezi uliopita, tumetoka Kahama na Coster, tumefika maeneo ya Bwawani kwa mbele kumbe dereva amesinzia aisee, hio ni saa kumi usiku. Nikamstua akarudi kwenye line. Akapata yale maeneji drinki tukasimama Chalinze kidogoHii ni kweli kabisa..... Kuna siku nilikua naendesha gari usiku wa manane kumbe nimesinzia nikajikuta niko upande wa pili wa barabara niliogopa sn nikapaki gari nikalala (HIKI NI KISA CHANGU CHA KWELI KABISA=