TANZIA Grivas Mwangoka afariki dunia kwa ajali ya Gari

TANZIA Grivas Mwangoka afariki dunia kwa ajali ya Gari

Ni Mjasiriamali maafuru Mlowo Mbozi mkoani Songwe ambaye pamoja na mambo mengine alikua anamiliki kiwanda cha kukoboa kahawa ktk mji wa Mlowo kafariki kwa ajali usiku wa kuamkia leo Morogoro.

Alikua pia maarufu kwa jina la FULL DOZE na GDM

Bwana ametoa bwana ametwaa. Jina lake libarikiwe

View attachment 1851508

View attachment 1851509
Sio mkinga huyu?!
 
Kwa taarifa yako alikua sio mtu wa kilevi kabisa..... Yeye ni kazikazi aisee
Seems ni uchovu na mwendo mkali. Yaani kama umechoka aiseee park lala kwa muda then amsha mashine kama kawaida. Usingizi una mambo ya kipuuzi sana yaani unadhani uko ON kumbe brain ilishafunga mawasiliano muda mrefu sana. Hadi kuichakaza hio gari hivyo hio speed haikua ya dunia hii
 
May be... Lkn yy kagongana na bus inawezekana pia bus ndo lilikua speed zqodi
Hata yeye inawezekana alikuwa speed sana, barabarani kuna phycology yake,kuna watu fulani wenye aina fulani za magari huwa wanaamini sana magari yao mkuu kisa sio za kijapani,hawa ukikutana nao wanakuwa "Kiatu" sio cha nchi hii.(Speed)


Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom