paroko tarantula
Senior Member
- Jun 15, 2021
- 107
- 93
Ndiyo maana tunasema kila uamkapo anza na MUNGU, na ulalapo mwambie MUNGU, kesho yetu itabaki kua fumbo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni kweli kabisa..... Kuna siku nilikua naendesha gari usiku wa manane kumbe nimesinzia nikajikuta niko upande wa pili wa barabara niliogopa sn nikapaki gari nikalala (HIKI NI KISA CHANGU CHA KWELI KABISA=Seems ni uchovu na mwendo mkali. Yaani kama umechoka aiseee park lala kwa muda then amsha mashine kama kawaida. Usingizi una mambo ya kipuuzi sana yaani unadhani uko ON kumbe brain ilishafunga mawasiliano muda mrefu sana. Hadi kuichakaza hio gari hivyo hio speed haikua ya dunia hii
Ahsante sn sn
Sure kaka..... I hope hapo kwenye Loki umemaanisha Loti. Hao ni wajasiriamali maarufu paleHapa sitodisplay jina lakini fulldoze namfahamu kama mjasiriamali wa kahawa mkubwa, 2016 nilikua mtu wa kwanza kutoa kahawa burundi kumletea jamaa, alinilipa vyema, baadae niliacha kufanya hiyo mambo baadhi nao wakumbuka kwenye mzunguko huo ni loki na shukrani, nimekumbuka mbali R.I.P mwamba
Ford Ranger zinawachomoa watu kwelikweli. Hizi mashine sijawahi kuendesha najiuliza ni Ile speed yake au zinakosa balance zikiwa kwa speed fulani?Ni Mjasiriamali maafuru Mlowo Mbozi mkoani Songwe ambaye pamoja na mambo mengine alikua anamiliki kiwanda cha kukoboa kahawa ktk mji wa Mlowo kafariki kwa ajali usiku wa kuamkia leo Morogoro.
Alikua pia maarufu kwa jina la FULL DOZE na GDM
Bwana ametoa bwana ametwaa. Jina lake libarikiwe
View attachment 1851508
View attachment 1851509
Ford Ranger sio mjerumani Bob, msauzi huyo.Sio ya Mjepo hii gari mkuu.
Imetoka kwa akina Carl Peters hii
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Sina kumbukumbu sn kuhusu hizi machine zkuapata ajali.... Nilidhani ni gari stable sn hata kwenye kona ukiwa mwendo kasiFord Ranger zinawachomoa watu kwelikweli. Hizi mashine sijawahi kuendesha najiuliza ni Ile speed yake au zinakosa balance zikiwa kwa speed fulani?