TANZIA Grivas Mwangoka afariki dunia kwa ajali ya Gari

Pole mkuu.... Mm tangu siku hiyo nauheshimu sn usingizi...... Nilikua najiuliza sn kwa nn malory mengi yanaanguka sehemu ambayo wala sio hatarishi kuna jamaa akasema sehemu hatarishi jamaa wanakua makini sn lkn ikifika mahali pazuri wanarelax hadi usingizi unawapata wanajikuta wapepeleka gari mitaroni nk....
 
Historia ya utajiri wake tu ndio inaniachaga hoi.
Nina shida ya hela, ila ujasiri wake - zaidi ya ule wa Ntarahamwe - siuwezi.
Kuna story gani mkuu...... Isije kua conspiracy theories....
 

Comfort ya kutosha, siyo comfortability ya kutosha. Hakuna neno comfortability mahali popote duniani kwenye kiingereza. Tafuta katika dictionary yoyote au google, hutapata neno hilo!
 
Ford zote ni brand ya Marekani. South Africa, UK... wanatengeneza under licence. Ni kama Toyota zote ni za Japan lakini kuna kiwanda cha Toyota China na Marekani. Kuwa na Kiwanda cha Totoya China, hakufanyi Toyota iwe brand ya Wachina.
 
...Duh, kweli hapo hatoki mtu! RIP mjasiriamali.
 
Comfort ya kutosha, siyo comfortability ya kutosha. Hakuna neno comfortability mahali popote duniani kwenye kiingereza. Tafuta katika dictionary yoyote au google, hutapata neno hilo!
Mmmh una shida sehemu
 
Ajali nyingine hiyo

Ova
 

Attachments

  • VID-20210714-WA0015.mp4
    6.7 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…