TANZIA Grivas Mwangoka afariki dunia kwa ajali ya Gari

Hii ni kweli kabisa..... Kuna siku nilikua naendesha gari usiku wa manane kumbe nimesinzia nikajikuta niko upande wa pili wa barabara niliogopa sn nikapaki gari nikalala (HIKI NI KISA CHANGU CHA KWELI KABISA=
 
Sure kaka..... I hope hapo kwenye Loki umemaanisha Loti. Hao ni wajasiriamali maarufu pale
 
Ford Ranger zinawachomoa watu kwelikweli. Hizi mashine sijawahi kuendesha najiuliza ni Ile speed yake au zinakosa balance zikiwa kwa speed fulani?
 
Ford Ranger zinawachomoa watu kwelikweli. Hizi mashine sijawahi kuendesha najiuliza ni Ile speed yake au zinakosa balance zikiwa kwa speed fulani?
Sina kumbukumbu sn kuhusu hizi machine zkuapata ajali.... Nilidhani ni gari stable sn hata kwenye kona ukiwa mwendo kasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…