Group D Yanga ndio kibonde kuliko wote, Hatoboi

Group D Yanga ndio kibonde kuliko wote, Hatoboi

Aahaaaaaaaaa,
Wanatamani kusema kuwa Al Ahyl ni kibonde kuliko msimu uliopita,ila wakikumbuka kuwa wanaye hapa bongo tarehe 20/10/2023 nguvu za kukosoa wanakosa

Wamebakiza kubwatuka Ihefu Ihefu ahaaa
Na hiyo tarehe 20 hata niwe mgonjwa naenda kuwaangalia wanavyoshangazwa alafu sisi tutakuja kuishangaza hiyo hiyo Alhali
 
Back
Top Bottom