Group D Yanga ndio kibonde kuliko wote, Hatoboi

Group D Yanga ndio kibonde kuliko wote, Hatoboi

Inaweza kutokea yale ya Daud Kumpiga Goriath.

Pamoja na Ushabiki wangu kwa Simba Sports Club lakini siachi kuwaombea Mema Dar es Salaam Young Africa, maana ndiyo timu ya Bibi yenu.

Kila la kheri kwa Timu kubwa za Kariakoo, maana hakuna timu zaidi ya kutoka Afrika Mashariki zaidi ya hizi kwenye hatua hii.

Nguvu Moja 💪
Pamoja sana
 
View attachment 2773711

Hutaki unaacha , lakini huu ndio ukweli halisi , Nikiwa ka Mtanzania kwenye kundi hili Yanga havuki , hapo ndio Mwisho .

Pichani : ni mtoto mdogo akiizomea Yanga ilipofungwa na Ihefu

View attachment 2773705
Kufungwa na Ihefu,sio kufungwa na al ahly ,bulouuizad wala Mediama,Ihefu itabaki kubwa Ihefu na kamwe haiwezi kuwa nyingine 🤸🤸
 
Jifariji baba ukipigwa chini ya goli 4 na Al Ahly basi Yanga mtabeba kikombe.
Screenshot_20231006-182654_WhatsAppBusiness.jpg

Head to head mechi za karibuni Yanga na al ahly,kolo endelea kukariri
 
Hawakawii kuja kusema Libya kuna vita, Misri ipo karibu na Libya na Sudan zenye Vita na Ghana ina wasiwasi na mapinduzi sababu nchi za Africa ya Magharibi zinapinduana pinduana
Ahaaaaa,wanyooshe maelezo mapema
 
Back
Top Bottom