Group D Yanga ndio kibonde kuliko wote, Hatoboi

Group D Yanga ndio kibonde kuliko wote, Hatoboi

View attachment 2773711

Hutaki unaacha , lakini huu ndio ukweli halisi , Nikiwa ka Mtanzania kwenye kundi hili Yanga havuki , hapo ndio Mwisho .

Pichani : ni mtoto mdogo akiizomea Yanga ilipofungwa na Ihefu

View attachment 2773705
Msije mkaendeleza zile nyimbo za kuwa kila timu inayofungwa na Yanga ni kibonde.
Uzuri mmeshaanza kufungua nyuzi za kuweka misimamo.
Kila lenye kheri kwa Timu za Yanga na Simba.
 
Waaleikhu musalamu

Uzuri unaanza naye wewe,ahaaaaa

Tarehe 20 siyo mbali
Mimi huyu sina shaka naye kabisa yani kwanza nimefurahia kukutana naye.

Na pengine mkikutana naye atakuwa tayari amefukuza kocha
 
Bora mmeshasema mapema kuwa sisi ndo vibonde kwa hyo hapo baadae hakutakuwa na zile habari za yanga alipangwa kundi jepesi
 
View attachment 2773711

Hutaki unaacha , lakini huu ndio ukweli halisi , Nikiwa ka Mtanzania kwenye kundi hili Yanga havuki , hapo ndio Mwisho .

Pichani : ni mtoto mdogo akiizomea Yanga ilipofungwa na Ihefu

View attachment 2773705
Screenshot_20231006-180313_Chrome.jpg
haya ni matokeo ya Yanga vs usm alger miezi 4 iliyopita tena kwao na fataki juu plus ucheleweshaji mpira kwa ball boys na wachezaji usm kujiangusha

👇 hapa chini ni matokeo ya usm alger vs al ahly mwezi m1 uliopita
Screenshot_20231006-180405_Chrome.jpg
 
Mimi huyu sina shaka naye kabisa yani kwanza nimefurahia kukutana naye.

Na pengine mkikutana naye atakuwa tayari amefukuza kocha
Kwahiyo atakuwa tayari kibonde au timu ngumu?
 
Inaweza kutokea yale ya Daud Kumpiga Goriath.

Pamoja na Ushabiki wangu kwa Simba Sports Club lakini siachi kuwaombea Mema Dar es Salaam Young Africa, maana ndiyo timu ya Bibi yenu.

Kila la kheri kwa Timu kubwa za Kariakoo, maana hakuna timu zaidi ya kutoka Afrika Mashariki zaidi ya hizi kwenye hatua hii.

Nguvu Moja 💪
 
Ni mkunwa mwenzangu so itakuwa ni pambano kali ila najihakikishia kutumia home ground vizuri
Kumbe wewe unajidaia home ground,aahaaaaaa

Siye tunamnywa home and away
 
Back
Top Bottom