Group D Yanga ndio kibonde kuliko wote, Hatoboi

Group D Yanga ndio kibonde kuliko wote, Hatoboi

Kwa jinsi alivyonyanyaswa juzi na Ihefu sidhani kama Yanga itapata hata sare kwenye group stage
Mwaka kafungwa mechi mbil akawa bingwa na kufika fainal CAF ww unaweza?
 
Aahaaaaaaaaa,
Wanatamani kusema kuwa Al Ahyl ni kibonde kuliko msimu uliopita,ila wakikumbuka kuwa wanaye hapa bongo tarehe 20/10/2023 nguvu za kukosoa wanakosa

Wamebakiza kubwatuka Ihefu Ihefu ahaaa
Kabisa
 
Nyayo zishafunikwa na mchanga

Habari ni Al Ahyl kuja bongo mara mbili,kwanza akicheza na Simba a pili akicheza na Yanga
Okay
c2ec1ffb5c4f2fd089796ec3baf71598.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aahaaaaaa,wanashindwa wasemeje makolo

Wakimuita Al Ahyl kibonde wanakumbuka na wao wanaye hapa bongo tarehe 20

Wakisema ni timu kibonde ,wanaogopa wanaweza chapwa nje ndani na Yanga akamchapanja nje ndani Al Ahyl

Aaahaaaa,

Hawajui washike lipi
[emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom