Group D Yanga ndio kibonde kuliko wote, Hatoboi

Group D Yanga ndio kibonde kuliko wote, Hatoboi

Aahaaaaaaaaa,
Wanatamani kusema kuwa Al Ahyl ni kibonde kuliko msimu uliopita,ila wakikumbuka kuwa wanaye hapa bongo tarehe 20/10/2023 nguvu za kukosoa wanakosa

Wamebakiza kubwatuka Ihefu Ihefu ahaaa
Sasa hyo tar 20 ndo mchukue notice how to beat ahly,mkifeli hapo ndo basi tena mtatoka bila hata kapoint
 
Sasa hyo tar 20 ndo mchukue notice how to beat ahly,mkifeli hapo ndo basi tena mtatoka bila hata kapoint
Al ahly tushampiga taifa wakati wewe upo kijijini kwenu na akaponea chupuchupu kutolewa ardhi ya kwao isingekuwa bahanuzi kukosa umakini tulikuwa tunamfurusha,sisi hatujawahi kwenda misri kinyonge
 
Kundi jepesi kabisa hili.
Yanga to semi final.
Kuanzia February hakuna kufungua uzi mpya JF, hizi nyuzi zote tunazitunza na tutakuwa tunarejea humu humu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom