Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,331
- 5,865
Pamoja sanaInaweza kutokea yale ya Daud Kumpiga Goriath.
Pamoja na Ushabiki wangu kwa Simba Sports Club lakini siachi kuwaombea Mema Dar es Salaam Young Africa, maana ndiyo timu ya Bibi yenu.
Kila la kheri kwa Timu kubwa za Kariakoo, maana hakuna timu zaidi ya kutoka Afrika Mashariki zaidi ya hizi kwenye hatua hii.
Nguvu Moja 💪