Mangi Meno
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 292
- 895
Hahaaaaa ni kweli jana alipania mwisho wa siku akawa anatoa boko tu.Hata Hamisa mwenyewe hakupenda na hata Zaylisa pia ni kama amekwenda kwa shingo upande. Tatizo Haji aliipania sana ile event kwa wiki nzima iliyopita alikuwa anatamba kuwa atafanya show ambayo kama wangeanza wao siku yao basi Simba wangeahirisha tamasha lao ili wajipange upya. Ameweka mbwembwe nyiiiingi hadi kuwaboa wana Yanga wenyewe.
Ndiyo tatizo la Watanganyika kudhani Kila mtu ni shabiki.Basi usihamishe mjadala kwa huo mfano wa Mo. Mpe jibu Yanga mwenzio kwa alichokielezea
Hapo sawaKawekeza kampun yake ya mo energy na vtu vngne
Ndio utani wenyewe huo kama hadi makamu wa rais alisema kama wewe sio mwanachama wa klabu hii kaeleke jiwe huyo mo ni nani asihusishwe na utani?Binafsi sikupendezwa na namna alivyomkashifu Mo kwa kumuiga kutambulisha dada yake kwa kejeli. Utani haupaswi kufikia level ya kuwakashfu wawekezaji.
Tuhakikishie kuwa hakujua, una chuki binafsi na manara haya n mambo ya burudani ni kawaida na ndivyo wabongo walio wengi wanayapenda, ulitaka wawe siriazi sana kwani ni ibada ya mwamposa?Kwamba una uhakika kuwa alijua, kwa vigezo au uthibitisho upi? Kilichofanyika ni ujinga mno kuna mambo ya ovyo ovyo vinapoteza muda kama hayo. Mtu unalazimisha Mobeto Mobeto mara siondoki mpaka Pacme aje. Upuuzi mtupu mbaba mtu mzima akili za ovyo.
Unprofessional planned. Watu wenye akili timamu hamuwezi kufedheheshana mbele za watu waliopo uwanjani na wanaofuatilia. Acha kutetea ujinga, mimi ni Yanga kindaki ndaki ila lile tukio ni aibu ukiangalia hata wahusika wenyewe hawakuridhika nalo.
Azire kwani yupo Yanga bure?Kuna siku azizi ataizira hii timu kisa ni kulazimishwa . Huyo bibi kizee ana MBEMENDA kijana wa watu
Ukiona hivyo ujue bado hajapona, bila kuizungumzia simba anakuwa hana maana pale utopoloni 😁Binafsi sikupendezwa na namna alivyomkashifu Mo kwa kumuiga kutambulisha dada yake kwa kejeli. Utani haupaswi kufikia level ya kuwakashfu wawekezaji.
Kwani KAZI IPO yanga pekee yakeSasa mlitakaje? hamisa ana shida gani? shida ya watu wa Yanga wengi ni wazee, tatizo Manara kuachiwa kifungoni imekuwa kero kwa wengi, mlitaka afe njaa ahadhirike mjini hapa?
Manara alikuwa sahihi sana, Wenye akili Yanga ni wachache. Na uyanga wangu lile tukio nimejisikia aibu hadi Azam wakatoka hewani. Pale kamfedhehesha hata Mobeto mwenyewe.Tuhakikishie kuwa hakujua, una chuki binafsi na manara haya n mambo ya burudani ni kawaida na ndivyo wabongo walio wengi wanayapenda, ulitaka wawe siriazi sana kwani ni ibada ya mwamposa?
Mobeto kafedheheka kwa nini na kuonekana kwake ndio kunampa pesa? Au wewe ndio mobeto?Manara alikuwa sahihi sana, Wenye akili Yanga ni wachache. Na uyanga wangu lile tukio nimejisikia aibu hadi Azam wakatoka hewani. Pale kamfedhehesha hata Mobeto mwenyewe.
Analipwa sh ngapi kwa kuonekana?Mobeto kafedheheka kwa nini na kuonekana kwake ndio kunampa pesa? Au wewe ndio mobeto?
Huyo ni public figure, unadhani hapo alifika bure bure, mambo mengine ni kawaida sana.Analipwa sh ngapi kwa kuonekana?