GSM umekuja kuwaliza Yanga na sio kuwainua. Time will tell

Status
Not open for further replies.
Umeandika kimkia zaidi
 
Huu Msimu KOLO FC mtateseka sana.Yaani mtateswa na vitu vingi sana🀣🀣🀣🀣
 
Mwanaume una andika kike
 
Ushawahi kuona jezi ya simba au yanga ina tangazo la azam?
 
Kwanza jezi yenye nembo ya GSM hatutalivaa ,wakitaka watushushe hata daraja ,kwa vile kanuni imevunjwa CAF,CAS na FIFA watatuletea majibu
Tutawafata huko huko tuwatandike
 

Tatizo na wewe unaandika huku ukiwa umeelemewa na ushabiki wako kwa Utopolo,haya tuambie hapa Kanuni za TFF hasa ile no 16 zinasemaje kuhusu hili la GSM na TFF?
 
GSM kajitolea kuwezesha timu za ligi kuu uwezo wa kipesa hasa kwenye kipengele cha mishahara na usafiri ila anatokea mpumbavu mmoja tajiri mbinafsi hataki huo udhamini kwasababu ya uwezo wake na anasahau kwamba kuna timu zina struggle ktk kujiendesha

Yeye huyo GSM si aende awadhamini hizo timu kama anataka kuwawezesha? Sote tunajua lengo la GSM siyo hizo team ndogo ndogo,yeye anataka aweke nembo yake kwa jersey ya Simba basi.Kama ni kuwa mdhamini mwenza why aweke masharti ya kwamba logo yake lazima ikae kwenye jersey? Hivi yeye ni wa kwanza kuwa mdhamini mwenza wa ligi hii? Alikuwepo hapa KCB,mbona hatukuona hayo masharti,Simba shikirieni hapo hapo,nina uhakika kwa sasa pana watu wako kwa kikaango kwa kushiriki hii janja janja ya GSM.Mtani,Derby itachezwa na nembo ya GSM kwa jersey ya Simba haitokuwepo.
 
Hiyo sio sheria mkuu ila ni kanuni, na kanuni huwa zinabadilika muda wowote

Kwa hiyo unajifungia chumbani TFF na GSM wanabadiri kanuni wao tu bila kuwashirikisha wadau wa ligi Kuu?
 
Aya sawa
 
Nembo si ni nembo tu, tuvae tu.

Mbona plate namba za magari yetu zina rangi za njano mbona hatukatai, hata huyo CEO Barbara anapanda gari lenye plate namba za njamo mbona hagomei.

Basi letu la Simba pamoja na kupigwa rangi nyeupe na nyekundu lakini kwente plate namba ipo rangi ya njano.

Viongozi wetu wa Simba ni wajinga sana iwapo kama wanagomea vitu vidogo kama hivi.
 
UnAjua hawa wanadhan MO DEWJ hawezi amua kudhamini ligi yote iitwe dewj premier league tatzo anajua sheria na taratibu za FIFA na fear competition zitamnasa na ata haribia simba zaidi. Sasa gsm mzee wa kuforce hahah

GSM keshazoea kufanya mambo kihuni,umesahau uhuni wake enzi za Home Shopping Center?
 
Vaeni jezi nyie
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…