GSM umekuja kuwaliza Yanga na sio kuwainua. Time will tell

Status
Not open for further replies.
Tupo kwenye mpira mambo ya kura yashapita mkuu hahha au umekasirika..?
 
Tupo kwenye mpira mambo ya kura yashapita mkuu hahha au umekasirika..?
Mimi huwa sikasirki hii ndio style yangu, kumfanya mtu ajae upepo.na avimbe moyoni wala sina kinyongo na mtu huu ni utani wa soka.

Ila najibu kutokana na nilivyojibiwa..

Cool..
 
Mimi huwa sikasirki hii ndio style yangu, kumfanya mtu ajae upepo.na avimbe moyoni wala sina kinyongo na mtu huu ni utani wa soka.

Ila najibu kutokana na nilivyojibiwa..

Cool..
Gsm gang
 
mi naona ni suala dogo sana la kueleweshana tu lakini Simba wamelichukua tofauti sana maana ninachokiona ni ushindani wa kibiashara Kati ya GSM na Mentl ila Simba inatumika tu. tunahitaji ligi Bora na ligi Bora inahitaji uwekezaji sasa tunapowakatisha tamaa wawekezaji kama hawa kwa maslahi ya watu wachache sio poa maana tunaona kuna timu zinakosa hata nauli
 
Wewe ni mwehu kiwango cha juu kabsa ambae hutambui hata unaandika nn hapa. Kama huna hoja kalale na njaa zako.πŸ’πŸ’πŸ’. Kwendraaaahh
Watu waliokosa hoja na ku attack mtu badala atoe hoja
 
 
Wewe ni zwazwa hujielewi hata akili ya kufikiria kama nimesema kinyume huna. Yani sentensi yenyewe inajieleza. Akili zako ndogo sana hufai kuwa GT. Malaya mke wako kwanza nakupa cheo huna hadhi ya kuwa na mke, malaya demu wako.
Wewe kweli akili huna, GT waliosoma comment yangu wamenielewa.
 
Hakuna aliye katishwa tamaa mkuu, sababu sio mara ya kwanza ligi yetu kuwa na mdhamini mwenza ila hoja inatokea je ni kwanini alazimishe kuwepo kwenye jezi wakati kikanuni anatakiwa kuishia kwenye mabango, ana maslahi gani na Simba ?? .. msimu uliopita mdhamini mwenza alikuwa kcb bank je mlimvaa kwenye matambala yenu ??.
 
Sheria haijasema lakini pia haijazuia.
 
Hovyo kabisa.Bilashaka hofu na njaa vinakusumbua kumbuka GSM ni kampuni.
 
Sheria zipo zinaeleweka. Kwanza wala hazijifichi yaani hii ishu hata ipelekwe ikaamuliwe uarabuni utopolo watakuja juta baadae
Sasa hapo Yanga anahusika vipi? Umesoma kweli wewe bilashaka utakuwa Chupli Chupli
 
Kumbuka GSM ni kampuni siyo Yanga. TFF wameingia mkataba na kampuni ya GSM. Tujiulize mkataba walioingia ukoje baada ya hapo ndiyo tujadili vinginevyo unaweza ukawa unajadili jambo kimbumbumbu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…