GSM yatangaza kujiondoa kwenye udhamini mwenza wa Ligi Kuu Tanzania Bara

kwahaya maumivu muone daktari upesi sana

 
Unaongea kitu gani wewe Punguani wa Akili..! MO anahusika kwa namna gani?


Kwani tangu Ligi Kuu kuasisiwa Ligi Kuu wamepita wadhamini wangapi? Unatakiwa mkataba wenye tija na vilabu vyote kikanuni na kisheria kama NBC.

Halafu mbona Ligi Kuu imewahi kuendeshwa bila mdhamini ulikuwa wapi wakati huo?
 
Sisi tulisema GSM ana upaja mdogo hana msuli wa kutunishiana na club kubwa kama simba

Nafikiria tu hapa ile invitation ya babra kule afcon na viongozi wa juu CAF ina percent kubwa katika kufumua hiki kimkataba
 
Wewe jamaa fala sana,milioni 10 kwa timu ni milioni 200 tu GSM afirisike kwa sababu ya m 200!Yanga wala atukutaka ule udhamini maana ulikua unampunguzia nguvu huku sasa ndio mjiandae maana msidhanie na sisi atutaki yale magoli ya offside na penalty za mchongo,tunaanza na sisi

 
GSM anatakiwa kuwa mdhamini kwa kufuata taratibu.
 
Unaonesha ulivyo na utindio wa ubongo! nut case.!

Ni team gani iliyogomea udhamini zaidi ya simba ya mudi?
Mkataba wenye kuridhisha kivipi ikiwa team zingine zote zilikubali kasoro simba au mpaka mudi aridhike?

Swala la kusema GSM alikuwa wapi kwani NBC pia alikuwa wapi?

Unaonesha wazi roho ya kwanini ya kitanzania wengine wakose kisa wewe hutaki, punda kabisa.
 
Tff inapaswa kuwa na vipengele vya kuwabana wadhamini uchwara Kama hawa. Lasivyo ligi Yetu itachezewa Sana
Au kwasababu Simba kamtunishia msuli GSM na akamkazia TFF na wao lengo lao kubwa ilikuwa kumtumia Simba kama mtangazaji wao wa logo yao huko mataifani au Duniani.?
 
Sisi tulisema GSM ana upaja mdogo hana msuli wa kutingishana na simba

Nafikiria tu hapa ile invitation ya babra kule afcon na viongozi wa juu CAF ina percent kubwa katika kufumua hiki kimkataba
Onyesha invitation hapa,makolo mjiandae hasa na huku kujitoa GSM,mwanzo atukutaka maana zingekua kelele za mdhamini mwenza lkn hizi propaganda zenu huku nyie match 11 penalty 8 magoli ya offside 4 now tunaingia vitani wote,kadu juzi kajiapiza watafanya vyovyote kolo awe bingwa ndio tutaona sasa
 
Takwa moja wapo lilikua kuuziwa kombe la NBC, lakini baada ya kuanza kushona sare, huku mnyama akija kwa kasi wakaona isiwe tabu ngoja waombe hela zao
Vichenchi vyenyewe vya kuzugia na tayari hapo lazima kuna kampasuko ndani ya club kanaendelea kimya kimya

Kuna mambo mengi yatakuwa yanaendelea ila kwakua sio mengi yanagusa umma tunakosa access ya kuyasikia. Hili la udhamini ni kwakua lilianza public wamekosa namna ya kuli shut down kimya kimya
 
Acha makasiriko kaongee ya jiiisssmm mo anahusikaje hapo?
 
Huna akili mbwa wewe team ndogo ndio zinaumia.
Kocha Luc alishakuita tangu kitambo kuwa wewe ni katika wale Mbwa, Nyani.

Hii Ligi Kuu ni Kitambo Sana Ipo na Itaendelea, acha kutubania pua hapa eti timu ndogo zinaumia, uliwapandisha wewe Ligi Kuu, unajua gharama za kupanda Ligi Kuu?

Kwahivyo nenda mstuni huko hapa hapakufai huna ujualo..? Punguani wa Akili.
 
Kwa hiyo jiesiemu alitumia 200M tu kuidhoofisa na kuinufaisha Yanga katika ligi na ni ushahidi wako pia jiesiem asingeweza kufilisika kwa 200M tu?
 
Sasa hivi wamepata kisingizio kila kitu kidogo watasema Simba anabebwa na TFF

Halafu wasifanye watu wajinga , Babra kalalamika TFF kwamba udhamini wa GSM unavunja sheria TFF wamelimwa barua imebidi wamwambie GSM jiuzulu
 
Dili limebuma, hv kama simba kagoma kwann aaidhamini vilabu vingne!!
 
Hujajibu maswali yangu badala yake unaleta vichambo kama malaya wa instagram..

Unazidi kuonyesha umaskini na chuki isiyo na sababu,
Haya wewe pia ulichangia nini hizo Team kupanda daraja mpka ligi kuu?

Siwezi kukuacha nyauba wewe jf ya mumeo au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…