GSM yatangaza kujiondoa kwenye udhamini mwenza wa Ligi Kuu Tanzania Bara

Haikuwa ya Yanga, ila ya GSM. Mpunga hautarudi maana ameshaharibu jezi za madogo
Gharib kajiuzulu stars,focus kubwa sasa inakuja kwa Yanga,binafsi naombea GSM ijitoe kudhamini namungo na coastal ili wadili na Yanga tu

 
Pathetic fool[emoji706][emoji706][emoji706]
 
Siyo
Siyo Maskini kama wewe mkuu GSM anafedha
 
GSM..Ni matapeli..yaani wanataka kujitangaza kimataifa kwa Jasho letu Simba..
Wameona Ni hasara kuendelea bila Simba..Kama wanitaka Simba watoe ya maana..
 
TFF na TPLB ,haya nd matokeo ya malezi mnavyovipa vilabu vikubwa viwil hapa bongo.. vilabu vnavunja matakwa y kimkataba ,vnaamua vivae ama visivae jezi yenye nembo y mdhamini ,vingine vinadiriki kuweka masharti ya kubadilisha na rangi ya logo ya mdhamini!
 
Siyo

Siyo Maskini kama wewe mkuu GSM anafedha
Hela hana na bora Yanga wamwombe Fred Vunja bei aje awe mdhamini wa timu. Sio lazima wote wawe wadhamini wa Ligi letu NBC anatosha, wengine wawe mashabiki tu. Hivi utofauti wa GSM na Fred Vunja Bei ni nn? Wote wanamaduka ya jersey na wote wanadhamini timu. Ila wote hao wanatofautiana sana na Mo Dewj kwanza Mo tirionea,Fred V ni bilionea na jiesiem ni elfumia
 
Wabongo kwa porojo sasa, muda wote hajawahi kuandika haya hadi leo GSM anapopiga nyama chini...

 
Bora wajitoe tu, labda TFF akili zitawakaa sawa...
 
Kwa hiyo mpira wa nchii hii ni simba sio? Maana timu zote itabidi zifate kile simba inataka.
Kwenye mambo magumu na maamuzi ya mpira wa nchi itabidi club ya simba iwe inaviwakilisha vilabu vyote 15 maana vyenyewe vinapelekwa tu.
Kwahiyo unapingana na ukweli?
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] weka video tuone
 
ww kwa jiesiem ni bora ya vunja bei. Jiesiem hana hela na alikuwepo kipindi ligi letu linaendeshwa bila mdhamini ila walikaa kimya kwa kuwa hela hamna. Sasa wamemuuza tu Kisinda kwa milioni 40 wakaenda kuombea mkopo kwa Mobank na wakapewa 3B na hizo zikawa zinawazuzua. Hawajawahi kushika 3B na hata magari yao ni spacio,harier,rav4 na skudo. Ingekuwa mafolonya yanalipa basi hata vunja bei angekuwa anaagiza toka huko China.
 
Kumbuka wanaoenda kuumia nitimu zachini,kwahiyo pesa ikipunvua unajua vilabu vinakuwa na hali gani.
Kwani alianza kudhamini kuanzia lini? Yaani hata round ya kwanza haijaisha mnataka kujifanya kuna alichosaidia kwenye timu ndogo.

Logo mbona zilivaliwa na mabango yaliwekwa ila Simba tu, sasa anajitoa nini ina maana alimlenga Simba SC..!
 
GSM aliona haiwezi kupata popularity kupitia Utopolo FC ikaona itumie mgongo wa Simba kabla ya kushtukiwa na CEO mwenye akili nyingi kawafurumusha.
Wanainunua Yanga.
Wanachama wa Yanga wakifika laki 3 nchi nzima, hiyo ni bilioni 10 cash.
Zoezi linaenda vizuri, na Yanga inanunulika sasa kwanini wahangaike na watu vichwa maji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…